tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Nadhani tunaruhusiwa mkuu.Tunaoendelea na hizo kazi tunaruhusiwa ku-comment hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tunaruhusiwa mkuu.Tunaoendelea na hizo kazi tunaruhusiwa ku-comment hapa?
Hahahahhh mtakuja kuumia na hizi kazi mazee 😂😂😂Kupiga plasta nyumba,mafundi wa 4 msaidizi mmoja.
Ya moto sana2011 wakati nimeua from 4 basi nikajichangaya kitaa kutafuta mishe basi nikabuka pale chuoni uhasibu Arusha ..kipindi iko hakuna vimbweta vile ..sasa katika moja na mbili nikakutana na fundi mkuu akanipa mchongo huo wa kujenga vimbweta, 20k kwa siku.
Mwamba apo nilikuwa chalii kinoma ndo kwanza 17 hivi ..bas kazi ikaanza ..zege linakorogwa na machine ,halafu ni ndoo mbili ndogo unabeba..dah kubabake nilibeba ndoo nusu nichanganyikiwe ..kwa wastani ile siku nilibeba ndoo siyo chini ya 30 hivi maana nilienda na kurudi non stop mara 15+ ..maana mzigo ushachanganywa hivyo lazima upelekwe na kimbweta kimoja adi kikamilike kinakula ndo za kushato. Saidia fundi tulikuwa wanne na mimi ndo kijana pekee wengine walikuwa wazee zee hiv hivyo wanachoka fasta. Sema uzuri mmoja katika kubeba zile ndo,
kuna manzi mmoja nadhani alikuwa diploma kipindi iko akanionea huruma alikuwa ananipimia kila siku nnavobeba zile ndoo ..akantoa kama teni hiv siku ya kwanza maana tulipiga kazi zaid ya siku kama nane hivi ..yule manzi tukaanza kuzoeana ..sjui ilikuwaje akanielewa fasta hivyo ..siku moja akaniuliza mnamaliza lini kazi nikamjibu hadi vimbweta viishe ..maana vilikuwa vimesukwa na nondo na mbao ..hivyo ni mwendo wa kumwaga zege tu ..
baadae nikachek nikaona vimebak viwili basi siku hiyo tukamaliza ilikuwa ijumaa ..nikapewa mshiko wangu hata yale machungu ya kazi naona yalikwisha aise ..ela bana[emoji3][emoji3] bas nikamfata yule manzi nikamwambia kazi imeisha yee alikuwa discashen na wenzake na mimi nikajiunga hapo sjui hata wanasoma nini ..nilikuwa handsome balaa siyo saiv nmepigika na life ..wale ma manzi wengine wakajua labda na mimi ni mwanafunzi maana nilinawa nikawa msafi fresh ..
yule dem akantambulisha kwa wenzake kuwa ni nani na nilikuwa saidia fundi ..dah wakashangaa kinoma ..sema ndo ivyo ..nikaamweit yule manzi adi akamaliza discusheni ..baadae nikaanza shuka naye mdogo mdogo na nilikuwa na baiskeli ya home ..huyo adi Kwake ..kumbe anakaa geto na mwenzake sema alimwacha chuo ..basi mi nikataka kusepa ..akanambia subir akaoge then aje anisindikize ..dah mtoto kaoga ile kurudi nikataka kumpisha ili avae akanizuia mara paap kanga chin kabaki kama alivyo dah sikuamini ..
kichwa chini kikazid nguvu kichwa cha juu ..manzi akanisogelea na mimi nipo tu kavua suruali ya jinsi katoa dushe kaanza nyonya .. na ndo mara ya kwanza nanyonywa niaje[emoji3][emoji3] aise ni balaa tupu ..nilipiga show sema kiuoga balaa na yeye alijua kuwa nimeogopa baada ya show tukatoka ile natoka tu baiskeli haipo ..mama weee nilichanganyikiwa na rafiki yake na yeye ndo anarudi ..nikamuliza kama ameona mtu na baiskeli akasema ndio ..
nikatoka mbio kumtafuta sikumpata ..nilichonipata home ni siri yangu aisee[emoji3][emoji3] sema yule manzi niliendelea kuifaidi hadi siku anasepa chuo ..sjui saiv hata yuko wapi.
Jacklin nakumiss sana najua utakuwa umeshaolewa..[emoji41][emoji41]
AseeeEstim construction company,mwaka 2009,posta tumepig mijengo kadhaa karibu na ghorofa la Benjamin mkapa mpaka leo siwezi kuwasahau wahindi wale,zege halilali,unatoka na ndoo ya litre 20 ghorofa ya Kwanza mpaka ya tano...kibarua mshahara 3700 per day na inaishia kwenye daladala na msosi wa maharage mabovu na chapat mbili kwa wasambaa pale manzese,asubuh unaamka hata mkono haunyanyuki kwa maumivu na mabegani cement ya Pakistan imekuunguza mabega full madonda,na muhindi kashasema atakayelala Hana kaz na huna kweli...unasindikizwa na muhindi nyuma Ana fimbo na matusi juu,mengine hata hayajawahi kupotea akilini nawatukanaga jamaa zangu tukigonga mvinyo wanaishia kucheka tu hawaelew ,maisha haya acha tu ila hawa jamaa posta waliifanya Kama kwao bombay walivyotawala sijui kwa Sasa maana nilikimbia hadi mji aisee! Ila muhindi mmoja alikuwa shoga akataka nimkule aliponikaribisha kwake akataka nimpge bomba Mara akaitwa na Bibi yake anayeishi nae humo ndani nikaiba laptop,simu tatu na wallet yenye pesa nying ndio chanzo Cha kusepa na kuacha kabsa ile kaz one day nitaweka hii story full,
Kama mpaka Sasa hawa wahindi wapo na wanaendelea serikali iwasaidie vijana wake.
Mkuu umenikumbusha mbali Sana
Niliifanya hii kazi 2013_2014 nilipokua kidato Cha 3 na 4, Ni kazi inayotaka uvumilivu Sana wa Hali ya juu, huku ukiomba jua liwahi kuzama ukapumzike
Nilianza saidia fundi pale mama alipofariki 2012, Ni kazi ambayo sikuwahi tegemea kuifanya kutokana na maisha tuliokuwa tukiishi kipindi kile, tulimiliki maduka na nyumba ya kupangisha, mgahawa ,gari na rasilimali nyingi tu, tatizo lilianza pale mama alipokua anaumwa tulitumia gharama nyingi Sana kumtibu Kwani alipata stroke (paralysis) upande wa kulia wa mwili, maisha yaliyumba, Mali zilipotea kumhudumia but alikuja kututoka.
Mwanzoni niliona aibu na niliifanya kwa Siri, but haikua Siri tena maisha yalinipiga na hayakunionea haya,mzee ni Kama alichanganyikiwa, hakua na msaada tena.
Niliifanya kwa moyo wote , iliniongezea utoro mwingi shuleni. Lakin nikafaulu fm 5 nikaapa sitakuja ifanya,huyo nikatoboa chuo nikamaliza, huwa najiuliza hivi Mimi nimekua hivi kweli?? Ni kazi ambayo nliapa sitakuja ifanya, Sasa imenibidi nifungie vyeti kabatini hakuna namna naifanya Sana now days, life is tough, loh!!!
Kingine nilichojifunza maisha Yale ya saidia fundi, Kuna vishawishi vingi , kule Kuna rafiki zangu wengi tu walianza kutumia bhangi, pombe na sigara na Sasa ni addicted Sana na wamekua wahuni Sana asee!
Kama mzazi nakushauri mwandalie mwanao mazingira mazuri asije fanya kazi zile asee
Over
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Fundi anaangusha mwiko makusudi, halafu utasikia Dogo okota mwiko huo.
Halafu unakuta Dogo una degree na fundi darasa la saba.
Na wakati wa kuondoka unatakiwa uoshe vyombo vya fundi sasa ole wako utangulie kunawa kabla ya fundi.
chaiNilikuwa nampa fundi tofari juu akapokea vibaya
Likaja kutua chini moja kwa moja begani kwangu
Imagine
Powa zuchu kacheze na mama ndani sawa eeh?chai
Nimechukua Geto babati afisa. Shughuli nmepatia Dom.. ila mazingira na hali ya hewa ya babati safi sana.. nimeamua pawe makazi ya kudumu.. huku kwingine kusaka Tonge.Ofsa,Dom au Babati?
Nimefanya sana hizi kazi Shule ya Msingi.Sijafanya saidia fundi..ila nimebeba tofali zile ndogondogo na kuzifyatua nyingi sanaaa.
Kazi ya kuchimba kichuguu,kuponda udongo halafu kukimbiza folama sio mchezo asee. Ndio maana kiuno kimekaa tenge
Kila la kheri mkuuNimechukua Geto babati afisa. Shughuli nmepatia Dom.. ila mazingira na hali ya hewa ya babati safi sana.. nimeamua pawe makazi ya kudumu.. huku kwingine kusaka Tonge.
Mkuu kuikubali kazi ile sio kwamba unakuwa huna malengo mengine ila ilibidi niikubali nikiamini hiyo pia inaweza kunipeleka hatua nyingine wapo walioipenda nawakapata mitaji nasasa wanamaisha mengine kilakitu kinaanza naimani kazi yoyote nafikiri chakwanza uipende ukishaipenda inamaana utaifanya kwabidii naukishaifanya kwabidii ndipo unaweza kuona kama inamanufaa au laIle kazi ni ngumu mkuu, sema inategemeana na speed ya fundi mwenyewe,
Kingine utaiona rahisi Kama huna malengo mengine ya kimaisha
Hahahahahhii ya mchai mchai View attachment 1695845