#COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

#COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

COMOTANG

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
2,131
Reaction score
1,821
Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.

Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.

Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu ikafuatiwa na maumivu ya mwili mzima. Baada ya Hapo ikaja Kubanwa mbavu lakini sikohoi Wala sikuwa na mafua.Cha ajabu nilicho kihisi Ni makohozi kuziba bomba ya kupitisha hewa kooni.

Kipindi hiki nilipelekwa hospitali nikapata vipimo lakini hakuna ugonjwa ulio onekana katika vipimo hivyo, nikapewa AZUMA, CIPRO NA PARACETAMOL. Kiukweli hizo dawa hazikunisaidia kabisa nikalazimisha kutumia dawa za asili kama

1.Limao

2.Tangawizi

3.Kitunguu Swaumu

4.Basil Tea

Baada ya siku 3 za matumizi ya tiba hiyo hali yangu ikarudi kuwa ya kawaida na sasa naendelea vizuri.
 
AZUMA ya siku tatu ndio iliyofungua hayo mapafu. Hizo dawa zimeokoa wengi na hili janga.

Pia Paracetamol, vitamin B Complex kuleta hamu ya kula, PedZinc, na matunda kwa wingi.

All in all mponyaji mkuu ni Mungu.
Hakika Mkuu.NAMSHUKURU MUUMBA WA ARDHI,MBINGU,VILIVYOMO KATI YA MBINGU NA ARDHI.KWA KUNIOKOA HALI HAIKUWA NZURI
 
Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na MWENYEZI MUNGU AKATUOKOA TUKUTANE tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .

Hukuekewa oksijeni?
 
Nenda kapige picha ya mapafu ujionee huruma.

COVID ni noma.
Nilipita huko kabla na baada ya tiba mkuu NA SASA NINA TUMIA THERAPY KWA AJILI YA KUSAFISHA MAPAFU MKUU NA KUJUA YAPO NJEMA TENA NINA WEZA TEMBEA 5 KM KILA SIKU MARA 2 MKUU.
 
Kuna hii antibiotic inaitwa Azuma eeh iliokoa jahazi, mzigo upo na ni mlaki haswaa
Hiyo azuma hiyo ilikuwa nouma kipindi haija punguzwa NGUVU yaani mtu aliyekuwa na TB alikuwa akitumia pac 1 ya vidonge 3 tibii atakutanayo maabara ba sio Tena ktk mapafu yake. Sasa imepunguzwa nguvu sio Kama ile ya zamani
 
Kweli , zamani ilikuwa ukinywa na ukikojoa baada ya saa moja hivi mkojo unanuka dawa
 
AZUMA ya siku tatu ndio iliyofungua hayo mapafu. Hizo dawa zimeokoa wengi na hili janga.

Pia Paracetamol, vitamin B Complex kuleta hamu ya kula, PedZinc, na matunda kwa wingi.

All in all mponyaji mkuu ni Mungu.
Azuma tena vipi inatibu covid?
 
Back
Top Bottom