Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh, pole sana, mi nashukuru Mungu mzugo ulinipitia nilipata homa for days, mafua nikenda kupima wakasema hamna kitu waknishauri nipime covid nikagoma, nikarudi home nikawa nadunda nikiona baridi inanikumba nafanya mazoezi, baada nashukuru Mungu nimepona, kilichonitesa ni hali ya kukosa harufu na kukosa hamu ya kula tu, ila niliendelea na shughuli zangu kama kawaida nilijitahidi tu kuchukua tahadhari kuwalinda wengine,Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.
Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu ikafuatiwa na maumivu ya mwili mzima. Baada ya Hapo ikaja Kubanwa mbavu lakini sikohoi Wala sikuwa na mafua.Cha ajabu nilicho kihisi Ni makohozi kuziba bomba ya kupitisha hewa kooni.
Kipindi hiki nilipelekwa hospitali nikapata vipimo lakini hakuna ugonjwa ulio onekana katika vipimo hivyo, nikapewa AZUMA, CIPRO NA PARACETAMOL. Kiukweli hizo dawa hazikunisaidia kabisa nikalazimisha kutumia dawa za asili kama
1.Limao
2.Tangawizi
3.Kitunguu Swaumu
4.Basil Tea
Baada ya siku 3 za matumizi ya tiba hiyo hali yangu ikarudi kuwa ya kawaida na sasa naendelea vizuri.
Ahsante mkuu,Pole nawe.Vizuri mkuu. Kuhusu harufu Hadi Sasa sihisi harufu yoyote mkuu, Ladha sijapoteza ila kitu harufu ndo imebebwa na vikoduh, pole sana, mi nashukuru Mungu mzugo ulinipitia nilipata homa for days, mafua nikenda kupima wakasema hamna kitu waknishauri nipime covid nikagoma, nikarudi home nikawa nadunda nikiona baridi inanikumba nafanya mazoezi, baada nashukuru Mungu nimepona, kilichonitesa ni hali ya kukosa harufu na kukosa hamu ya kula tu, ila niliendelea na shughuli zangu kama kawaida nilijitahidi tu kuchukua tahadhari kuwalinda wengine,
TUKACHANJE MKUU maana ngoma inaweza Rudi haitabirikiHuu ugonjwa upo, ugonjwa ulinipeleka week 3. Maumivu makali ya kichwa kama kuna mtu anagonga na nyundo huko kichwani, baridi kali na homa kali hasa nyakati za jioni na asubuhi. Ilifikia kipindi kifua kinabana namna ya kupumua ikawa ni tabu, lakini kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana. Na hizi dawa ambazo wengi wametaja hakika zimenisaidia sana pasipo kusahau Aspirin junior, nilipoteza ladha na harufu kwa kipindi cha mwezi mzima. Ndugu tujihadhari ugonjwa upo na unatisha na mbaya ukiwa na magonjwa sugu mengine huchomoki.
Hongera na pole sana Mkuu.Mshukuru MUNGU kwa kukuponya.Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.
Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu ikafuatiwa na maumivu ya mwili mzima. Baada ya Hapo ikaja Kubanwa mbavu lakini sikohoi Wala sikuwa na mafua.Cha ajabu nilicho kihisi Ni makohozi kuziba bomba ya kupitisha hewa kooni.
Kipindi hiki nilipelekwa hospitali nikapata vipimo lakini hakuna ugonjwa ulio onekana katika vipimo hivyo, nikapewa AZUMA, CIPRO NA PARACETAMOL. Kiukweli hizo dawa hazikunisaidia kabisa nikalazimisha kutumia dawa za asili kama
1.Limao
2.Tangawizi
3.Kitunguu Swaumu
4.Basil Tea
Baada ya siku 3 za matumizi ya tiba hiyo hali yangu ikarudi kuwa ya kawaida na sasa naendelea vizuri.
Amina.Mungu ni mponyaji.AZUMA ya siku tatu ndio iliyofungua hayo mapafu. Hizo dawa zimeokoa wengi na hili janga.
Pia Paracetamol, vitamin B Complex kuleta hamu ya kula, PedZinc, na matunda kwa wingi.
All in all mponyaji mkuu ni Mungu.
Azuma ndio mkombozi kwasasa,kitu kilinikamata nikapiga dozi yangu mixture limao na nyungu ndani 3 pua zikafunguka na hamu ya kula ikarejeaAzuma tena vipi inatibu covid?
Haswaaa tufate maelekezo ya wataalamu wetu wa afya.Amiin.Ahsante Sana Mkuu. Tuvae barakoa tujitahidi kufuata maelekezo ya wataalam wa afya jinsi ya kujikinga na UVIKO19
Pole sana Mkuu, waweza kutupa maelezo ya hizo dawa za asili ulizitumiaje?
mm nashukuru Mungu maana si kwa ujanja wangu haujanipeleka, breakfast yangu ilikuwa ni tangawizi yenye limao nyingi, na chakula changu ni supu yenye limao/ndimu nyingi vitu vingine vyote vilikuwa havipandi,Ahsante mkuu,Pole nawe.Vizuri mkuu. Kuhusu harufu Hadi Sasa sihisi harufu yoyote mkuu, Ladha sijapoteza ila kitu harufu ndo imebebwa na viko
Basil Tea ndio nini tujuze.Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.
Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu ikafuatiwa na maumivu ya mwili mzima. Baada ya Hapo ikaja Kubanwa mbavu lakini sikohoi Wala sikuwa na mafua.Cha ajabu nilicho kihisi Ni makohozi kuziba bomba ya kupitisha hewa kooni.
Kipindi hiki nilipelekwa hospitali nikapata vipimo lakini hakuna ugonjwa ulio onekana katika vipimo hivyo, nikapewa AZUMA, CIPRO NA PARACETAMOL. Kiukweli hizo dawa hazikunisaidia kabisa nikalazimisha kutumia dawa za asili kama
1.Limao
2.Tangawizi
3.Kitunguu Swaumu
4.Basil Tea
Baada ya siku 3 za matumizi ya tiba hiyo hali yangu ikarudi kuwa ya kawaida na sasa naendelea vizuri.
Azuma tena vipi inatibu covid?
Unatumiaje? Na Moshi inapatikana wapi?Basil plant wabongo huita Reihani,vumbasi kubwa
Hakuna azuma ya Gram 500Azuma hii hii ya gram500 ya siku3?duuh
Kwa nini shida yote hiyo, pata chanjo ya johnson na johnson ufurahie maishaJitahidi unywe maji ya Moto muda wote,tafuna Kitunguu swaum usisahau na supu ya limao + tangawizi