#COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

#COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

Mimi wiki 3 nimekaa ndani napambana kuba siku nlikata tamaa,nlitumia azuma,cetrizene,paracetamol,latiradine...uviko isikie isikupate,ukiona kifua kinaleta shida piga sindano ya powersafe
 
Usiseme hukulazwa, sema hukubanwa kufikia hiyo stage. Ungefika stage hiyo na kukosa huduma ya kuwekewa oxygen saa hizi ndugu wangeongea mengine.
Na nadhani hajui oxygen haikwepeki unapozididiwa hata nyumbani hapakaliki, asifikiri watu wanawekewa oxygen kwa kupenda.
 
Nliugua kwa wiki mbili, homa Kali kifua kikohozi mafua na mwili kuchoka.Nilitumia azuma pedzink asprin na hizi tiba za asili.Nikamwambia Mungu unajua wazi mimi ndo mzazi pekee wa wanangu nilobaki na bado ni wadogo.Niponye niweze kuwatunza wakue vyema.MUNGU MWEMA AFYA IMEIMARIKA NIMEREJEA KWENYE MAJUKUM YANGU.
Pole Sana mkuu
 
P
Mimi wiki 3 nimekaa ndani napambana kuba siku nlikata tamaa,nlitumia azuma,cetrizene,paracetamol,latiradine...uviko isikie isikupate,ukiona kifua kinaleta shida piga sindano ya powersafe
Pole Mkuu
 
Po
duh, pole sana, mi nashukuru Mungu mzugo ulinipitia nilipata homa for days, mafua nikenda kupima wakasema hamna kitu waknishauri nipime covid nikagoma, nikarudi home nikawa nadunda nikiona baridi inanikumba nafanya mazoezi, baada nashukuru Mungu nimepona, kilichonitesa ni hali ya kukosa harufu na kukosa hamu ya kula tu, ila niliendelea na shughuli zangu kama kawaida nilijitahidi tu kuchukua tahadhari kuwalinda wengine,
Pole Sana Mkuu
 
Usiseme hukulazwa, sema hukubanwa kufikia hiyo stage. Ungefika stage hiyo na kukosa huduma ya kuwekewa oxygen saa hizi ndugu wangeongea mengine.
Mkuu kwa Hali niliyokuwanayo ,Mateso niliyo yapata Sina la kusema ILA NAMSHUKURU MUNGU SIKULAZWA NA KUFIKIA HATUA YA OXYGEN. MKUU BADO NINAENDELEA KUTUMIA THERAPY NA DAWA ZA KULEGEZA MISULI MAANA ILISHA KAZA NIKAWA SIWEZI LOLOTE
 
Kama Mungu anapanga siku ikifika kwahio waliokwenda na waliobaki si ni mipango?
Kwahio waliumwa wakaokolewa it means waliokofu hawakuokolewa ?

Nadhani tukielewa kwamba kifo ni inevitable, na ukitoa kifo cha uzee (mwili umechoka na cells regeneration imesimama) utagundua kwamba vifo vingine vinaepukika, na kila kifo baada ya hapo kina mkono wa mtu, iwe ajali, ugonjwa au genetic..., ni circumstances ndio zinasababisha happenstance...
 
Na nadhani hajui oxygen haikwepeki unapozididiwa hata nyumbani hapakaliki, asifikiri watu wanawekewa oxygen kwa kupenda.
Nadhani ni mwenda wazimu TU ndo atafikiri kuwa Kuna watu wanapenda kuwekwa oxygen! Halafu msidhani kuumwa kwa Yule Ni sawa na huyu !!!
UGONJWA ni mmoja lakini unatofauti kwa dalili toka mgonjwa na mgonjwa mwingine.
Pia kadri utakavyo wahi kupata tiba baada ya kuona dalili ndivyo Hali mbaya zaidi utakavyo iepuka
 
mm nashukuru Mungu maana si kwa ujanja wangu haujanipeleka, breakfast yangu ilikuwa ni tangawizi yenye limao nyingi, na chakula changu ni supu yenye limao/ndimu nyingi vitu vingine vyote vilikuwa havipandi,
Hakika Mkuu.NI MUUMBA PEKEE NDIYE AJUAE
 
Back
Top Bottom