#COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.

Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.

Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu ikafuatiwa na maumivu ya mwili mzima. Baada ya Hapo ikaja Kubanwa mbavu lakini sikohoi Wala sikuwa na mafua.Cha ajabu nilicho kihisi Ni makohozi kuziba bomba ya kupitisha hewa kooni.

Kipindi hiki nilipelekwa hospitali nikapata vipimo lakini hakuna ugonjwa ulio onekana katika vipimo hivyo, nikapewa AZUMA, CIPRO NA PARACETAMOL. Kiukweli hizo dawa hazikunisaidia kabisa nikalazimisha kutumia dawa za asili kama

1.Limao

2.Tangawizi

3.Kitunguu Swaumu

4.Basil Tea

Baada ya siku 3 za matumizi ya tiba hiyo hali yangu ikarudi kuwa ya kawaida na sasa naendelea vizuri.
duh, pole sana, mi nashukuru Mungu mzugo ulinipitia nilipata homa for days, mafua nikenda kupima wakasema hamna kitu waknishauri nipime covid nikagoma, nikarudi home nikawa nadunda nikiona baridi inanikumba nafanya mazoezi, baada nashukuru Mungu nimepona, kilichonitesa ni hali ya kukosa harufu na kukosa hamu ya kula tu, ila niliendelea na shughuli zangu kama kawaida nilijitahidi tu kuchukua tahadhari kuwalinda wengine,
 
Ahsante mkuu,Pole nawe.Vizuri mkuu. Kuhusu harufu Hadi Sasa sihisi harufu yoyote mkuu, Ladha sijapoteza ila kitu harufu ndo imebebwa na viko
 
Huu ugonjwa upo, ugonjwa ulinipeleka week 3. Maumivu makali ya kichwa kama kuna mtu anagonga na nyundo huko kichwani, baridi kali na homa kali hasa nyakati za jioni na asubuhi. Ilifikia kipindi kifua kinabana namna ya kupumua ikawa ni tabu, lakini kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana. Na hizi dawa ambazo wengi wametaja hakika zimenisaidia sana pasipo kusahau Aspirin junior, nilipoteza ladha na harufu kwa kipindi cha mwezi mzima. Ndugu tujihadhari ugonjwa upo na unatisha na mbaya ukiwa na magonjwa sugu mengine huchomoki.
 
TUKACHANJE MKUU maana ngoma inaweza Rudi haitabiriki
 
Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.

Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.

Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu ikafuatiwa na maumivu ya mwili mzima. Baada ya Hapo ikaja Kubanwa mbavu lakini sikohoi Wala sikuwa na mafua.Cha ajabu nilicho kihisi Ni makohozi kuziba bomba ya kupitisha hewa kooni.

Kipindi hiki nilipelekwa hospitali nikapata vipimo lakini hakuna ugonjwa ulio onekana katika vipimo hivyo, nikapewa AZUMA, CIPRO NA PARACETAMOL. Kiukweli hizo dawa hazikunisaidia kabisa nikalazimisha kutumia dawa za asili kama

1.Limao

2.Tangawizi

3.Kitunguu Swaumu

4.Basil Tea

Baada ya siku 3 za matumizi ya tiba hiyo hali yangu ikarudi kuwa ya kawaida na sasa naendelea vizuri.
Hongera na pole sana Mkuu.Mshukuru MUNGU kwa kukuponya.
 
AZUMA ya siku tatu ndio iliyofungua hayo mapafu. Hizo dawa zimeokoa wengi na hili janga.

Pia Paracetamol, vitamin B Complex kuleta hamu ya kula, PedZinc, na matunda kwa wingi.

All in all mponyaji mkuu ni Mungu.
Amina.Mungu ni mponyaji.
 
Ahsante mkuu,Pole nawe.Vizuri mkuu. Kuhusu harufu Hadi Sasa sihisi harufu yoyote mkuu, Ladha sijapoteza ila kitu harufu ndo imebebwa na viko
mm nashukuru Mungu maana si kwa ujanja wangu haujanipeleka, breakfast yangu ilikuwa ni tangawizi yenye limao nyingi, na chakula changu ni supu yenye limao/ndimu nyingi vitu vingine vyote vilikuwa havipandi,
 
Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.

Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.

Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu ikafuatiwa na maumivu ya mwili mzima. Baada ya Hapo ikaja Kubanwa mbavu lakini sikohoi Wala sikuwa na mafua.Cha ajabu nilicho kihisi Ni makohozi kuziba bomba ya kupitisha hewa kooni.

Kipindi hiki nilipelekwa hospitali nikapata vipimo lakini hakuna ugonjwa ulio onekana katika vipimo hivyo, nikapewa AZUMA, CIPRO NA PARACETAMOL. Kiukweli hizo dawa hazikunisaidia kabisa nikalazimisha kutumia dawa za asili kama

1.Limao

2.Tangawizi

3.Kitunguu Swaumu

4.Basil Tea

Baada ya siku 3 za matumizi ya tiba hiyo hali yangu ikarudi kuwa ya kawaida na sasa naendelea vizuri.
Basil Tea ndio nini tujuze.
 
Azuma tena vipi inatibu covid?

Covid haina tiba, hiyo ni anti-biotic yenye kupambana na infections za njia ya mfumo wa hewa na pia watu wenye homa ya mapafu (pneumonia), pia hutibu magonjwa hafi ya zinaa...ipo vizuri
 
Back
Top Bottom