AZUMA ya siku tatu ndio iliyofungua hayo mapafu. Hizo dawa zimeokoa wengi na hili janga.
Pia Paracetamol, vitamin B Complex kuleta hamu ya kula, PedZinc, na matunda kwa wingi.
All in all mponyaji mkuu ni Mungu.
Duuh kwa hio mtumiaji mpya nae itadunda? Na je wataalamu wanajipanga kutumia dawa gani fragili, piroxam, penvil, ampicloxin, au nini hasa maana anticipation ndio muhimu kwa sasa, na azuma ina content zipi na waliwezaje kutambua na dawa mtambuka zenye muelekeo kama azuma ni zipi?A
Azuma hiyohiyo ya mg500 ila sio peke yake maana Virus vimeanza kuijua hivyo inakaribia kudunda
Mkuu Kikawaida hakuna dawa ya Covid ila kuna dawa za kutibu dalili za Covid, kutegemea na unavyoumwa ndio mtu anakunywa Tangawizi, Paracetamol, na michanganyo mengine.Duuh kwa hio mtumiaji mpya nae itadunda? Na je wataalamu wanajipanga kutumia dawa gani fragili, piroxam, penvil, ampicloxin, au nini hasa maana anticipation ndio muhimu kwa sasa, na azuma ina content zipi na waliwezaje kutambua na dawa mtambuka zenye muelekeo kama azuma ni zipi?
Pole mkuu na Asante kwa mrejesho,Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Lambda kishaingia USA kwa hiyo sasa Delta na Lambda wanakinukisha, kesho sijui kitakuwa kirusi gani.....Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.
Nilipita huko kabla na baada ya tiba mkuu NA SASA NINA TUMIA THERAPY KWA AJILI YA KUSAFISHA MAPAFU MKUU NA KUJUA YAPO NJEMA TENA NINA WEZA TEMBEA 5 KM KILA SIKU MARA 2 MKUU.
Pole sana, Mungu ni mwema sana.Nliugua kwa wiki mbili, homa Kali kifua kikohozi mafua na mwili kuchoka.Nilitumia azuma pedzink asprin na hizi tiba za asili.Nikamwambia Mungu unajua wazi mimi ndo mzazi pekee wa wanangu nilobaki na bado ni wadogo.Niponye niweze kuwatunza wakue vyema.MUNGU MWEMA AFYA IMEIMARIKA NIMEREJEA KWENYE MAJUKUM YANGU.
Asante mkuu,tahadhari ni muhimu sana.Pole sana, Mungu ni mwema sana.
Mimi hapo kabla nilikua kati ya wale wabishi, kwamba hili gonjwa halipo kwanza haliwezi kunipata kijana [emoji23][emoji23]
Aisee kwa muda wa wiki moja lilinigeuza binu binu homa kali, kichwa kama kipo jikoni, koo linawasha, kifua, kikohozi, pumzi kubana etc
Kuna muda unaogopa kulala, nikawa naogopa kupitiliza aisee.
Nikawaza tu hii kitu ikimpata mzee, basi ngumu sana kutoboa.
Tuchukue tahadhari, Corona ipo.