akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Usiseme hukulazwa, sema hukubanwa kufikia hiyo stage. Ungefika stage hiyo na kukosa huduma ya kuwekewa oxygen saa hizi ndugu wangeongea mengine.NAMSHUKURU MUNGU SIKUWEKEWA KWA KUWA SIKULAZWA NINGE KUWA NDANI YA HOSPITALI NINGEWEKEWA NA NISINGEPATA NAFASI YA KUNYUNGULIKA MKUU
Na nadhani hajui oxygen haikwepeki unapozididiwa hata nyumbani hapakaliki, asifikiri watu wanawekewa oxygen kwa kupenda.Usiseme hukulazwa, sema hukubanwa kufikia hiyo stage. Ungefika stage hiyo na kukosa huduma ya kuwekewa oxygen saa hizi ndugu wangeongea mengine.
Pole Sana mkuuNliugua kwa wiki mbili, homa Kali kifua kikohozi mafua na mwili kuchoka.Nilitumia azuma pedzink asprin na hizi tiba za asili.Nikamwambia Mungu unajua wazi mimi ndo mzazi pekee wa wanangu nilobaki na bado ni wadogo.Niponye niweze kuwatunza wakue vyema.MUNGU MWEMA AFYA IMEIMARIKA NIMEREJEA KWENYE MAJUKUM YANGU.
Pole Sana Mkuuduh, pole sana, mi nashukuru Mungu mzugo ulinipitia nilipata homa for days, mafua nikenda kupima wakasema hamna kitu waknishauri nipime covid nikagoma, nikarudi home nikawa nadunda nikiona baridi inanikumba nafanya mazoezi, baada nashukuru Mungu nimepona, kilichonitesa ni hali ya kukosa harufu na kukosa hamu ya kula tu, ila niliendelea na shughuli zangu kama kawaida nilijitahidi tu kuchukua tahadhari kuwalinda wengine,
Mkuu kwa Hali niliyokuwanayo ,Mateso niliyo yapata Sina la kusema ILA NAMSHUKURU MUNGU SIKULAZWA NA KUFIKIA HATUA YA OXYGEN. MKUU BADO NINAENDELEA KUTUMIA THERAPY NA DAWA ZA KULEGEZA MISULI MAANA ILISHA KAZA NIKAWA SIWEZI LOLOTEUsiseme hukulazwa, sema hukubanwa kufikia hiyo stage. Ungefika stage hiyo na kukosa huduma ya kuwekewa oxygen saa hizi ndugu wangeongea mengine.
Nadhani ni mwenda wazimu TU ndo atafikiri kuwa Kuna watu wanapenda kuwekwa oxygen! Halafu msidhani kuumwa kwa Yule Ni sawa na huyu !!!Na nadhani hajui oxygen haikwepeki unapozididiwa hata nyumbani hapakaliki, asifikiri watu wanawekewa oxygen kwa kupenda.
Hakika Mkuu.NI MUUMBA PEKEE NDIYE AJUAEmm nashukuru Mungu maana si kwa ujanja wangu haujanipeleka, breakfast yangu ilikuwa ni tangawizi yenye limao nyingi, na chakula changu ni supu yenye limao/ndimu nyingi vitu vingine vyote vilikuwa havipandi,