Tuliopoteana tukutane hapa

Tuliopoteana tukutane hapa

yan namtafuta binti mmja wakutwa irene dawson...daah ilikua kiprimary lakn sitaki kuuamin kama namkosa uyu mtoto popote alipo viktor anamtafuta kama pesa
 
du! sijui heading ingebadilika! naona waluofanikiwa kukutana ni wale waliokuwa ma ex...... only. Sasa ambao hatuna ex tukatafutiane wapi sijui. Nawaza tu
 
yan namtafuta binti mmja wakutwa irene dawson...daah ilikua kiprimary lakn sitaki kuuamin kama namkosa uyu mtoto popote alipo viktor anamtafuta kama pesa
duuu! jf ni zaidi ya chuo. courses haziishi. id torvic= vic<>tor = VICTOR!!!! sijui MSHANA JN imepatikanaje kwa theory hii???
 
Mkimuona mwanayumba mwambie bado nampenda mkimuona mleteni
 
Back
Top Bottom