Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Yaah!ni kweli ingawa vingine unaweza kukamulia ndimu nyingi ila kuna vingine duh harufu tu unakimbia.Lakini kuna viporo vingine vimeharibika haviliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah!ni kweli ingawa vingine unaweza kukamulia ndimu nyingi ila kuna vingine duh harufu tu unakimbia.Lakini kuna viporo vingine vimeharibika haviliki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaah!ni kweli ingawa vingine unaweza kukamulia ndimu nyingi ila kuna vingine duh harufu tu unakimbia.
Poa aisee mungu mkubwa nimekupata nitakuja PMMimi hapa nshakuja..........mambo zako.....
Sijasoma hapo mkuuNdio nawewe ulisoma hapo?
hahahaa michepuko meeting corner. mkikutana mji-selfishe kisha mtuwekee hapa hapa maana jukwaa fulani hv kuna COUPLES zilishabarikiwaJamani baby nipo jamani.! Hizi ID zinatufanya tupotezane
marafiki wa kalamu huwa ni daftari na karatasiHabari zenu,
Natafuta Marafiki wa Kalamu.
duuu! jf ni zaidi ya chuo. courses haziishi. id torvic= vic<>tor = VICTOR!!!! sijui MSHANA JN imepatikanaje kwa theory hii???yan namtafuta binti mmja wakutwa irene dawson...daah ilikua kiprimary lakn sitaki kuuamin kama namkosa uyu mtoto popote alipo viktor anamtafuta kama pesa
ha ha ha...aya mkuu umeniweza!duuu! jf ni zaidi ya chuo. courses haziishi. id torvic= vic<>tor = VICTOR!!!! sijui MSHANA JN imepatikanaje kwa theory hii???
marafiki wa kalamu huwa ni daftari na karatasi
mkuu tuliza povu, unayejua umefuata nini haoa. hili jukwaa la kujidai hata kwa pumba. heko mwelewa uliyepotea njia.Kizazi cha Facebook, hujui kitu.
mkuu tuliza povu, unayejua umefuata nini haoa. hili jukwaa la kujidai hata kwa pumba. heko mwelewa uliyepotea njia.