Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Pole sana mkuuMaafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini.Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Majuto ni mjukuu. Sasa mmeturudisha kwenye utawala wa Chama Kimoja. Sio peke yenu. Hata mawakala wa vyama vya upinzani wamechangia hayaHatuna cha kueleza sisi tuliosimamia uchaguzu tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizoka juu yetu.
Huu ujinga umefanyika maeneo mengi sana. Na policcm safari hii wamedhihirisha wazi namna wanavyotumiwa na bosi wao. Alichokisema yule OCD wa Hai, hakikuwa ni kitu cha kubahatisha.Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini.Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Unatakiwa ujiongeze, maandiko ni mapana sana ndg, hata shetani ana mamlaka yake kwa viongozi wa kisiasa hapa duniani.Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Vyama vya upinzani mawakala wote walifukuzwa.Majuto ni mjukuu. Sasa mmeturudisha kwenye utawala wa Chama Kimoja. Sio peke yenu. Hata mawakala wa vyama vya upinzani wamechangia haya
Magufuli atasema ameshinda ila CCM na TANZANIA kwa ujumla tumepoteza
Inawezekana kweli wengine walifukuzwa. Ila ukishakula pesa ya mtu, unaweza kutunga uongo wowote.Vyama vya upinzani mawakala wote walifukuzwa.
Alipaswa atendeje?Usiingize Biblia kama hauijui kwenye huu ujinga
na kweli mana dhulma inaruhusiwa piaHata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Katiba iliyopo watu wameshindwa kuitumia.Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisaa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza....
Wala hatulalamiki, tumeacha kulalamika sababu haisaidii, ila malipo ya dhulma ni Laana na KIFOKwakweli mnalalamika mpaka roho inaniuma poleni sana wajameni ndio siasa hiyo jipangeni kwa uchaguzi ujao..
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA