Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Hii nchi inahitajika jeshi kuingilia kati alasivyo kila siku tutapigwa mpk tukome katiba hawata badili hao,mambo ni mengi wanajiwasha wenyewe then wanajikuna! Huu udharimu utatupotezea taifa tutakuwa na taifa jina tu!
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Kwaiyo hata maandamano yakudai haki hutoshiriki?
 
Labda wewe ndio hukuwatendea haki , ila wengine tumetenda haki na manazi wa chadema porojo mtandaoni kupiga kura hawaonekani ...... Mwambieni kibaraka wa wazungu matusi yake yamemponza

sent from HUAWEI
 
Constitution and CONSTITUTIONALISM.

Sasa hivi tu itokee tukabidhiwe mifumo ya utawala ya marekani, utaona tutakavyoichafua na kuivuruga.

Kwa kweli ustaarabu unaanzia kichwani wala hauletwi kwenye maandishi yaliyoko kwenye vijarida vinavyoitwa Katiba.

Nyani anaweza kuja mjini lakini pori likabaki kichwani kwake.
 
Vyama mbona viko vingi sema havina uwakilishi bungeni. Labda viamue kujifuta vyenyewe

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
wewe ni muongo. sisi pia tumesimamia mpaka kubandika tena tunaikung'uta karatas moja moja na mawakala wote wapo.mwisho wa siku matokeo yalitoka jpm [emoji818]
wewe labda hukuwa msimamizi.sema haki
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Toba hii haikubaliki ni mpaka watanzania wote watakapo kusamehe!
 
wewe ni muongo. sisi pia tumesimamia mpaka kubandika tena tunaikung'uta karatas moja moja na mawakala wote wapo.mwisho wa siku matokeo yalitoka jpm [emoji818]
wewe labda hukuwa msimamizi.sema haki
Wewe ndie muongo na unaetete uovu... ila utalipwa kwa uovu wenu kila aliemo hatoki!
 
Wewe ndie muongo na unaetete uovu... ila utalipwa kwa uovu wenu kila aliemo hatoki!
mkuu kila mtu anasema ilivokuwa.na mim pia nilikua msimamiz tena wameridhika mawakala wote tena ilikua unakunjua karatas moj moja inasomwa kwa sauti.inaonekana na kila mtu. muganyizi acha uongo.mpaka box tumekung'uta
 
Wakishinda wapinzani haki imetendeka, ila wakishindwa hakuna haki, tulia sindano iwaingie
Hao ni wapingaji FC na sio wapinzani, mpinzani huwa anakubali kushindwa
 
Amewanyima tu hao wapinzani ajira ya ubunge, udiwani na hata huo Urais! Ila upinzani hauwezi kufa kamwe. Hata ndani ya hicho chama chake, upinzani na makundi yatendelea tu kushamiri.

Yaani tumerudishwa enzi za Mwalimu! Hovyo kabisa.
HIVI HUYU MZEE AKISTAAFU ATAISHI DUNIA YA WAPI? ATAISHI NA NANI?
 
Watu tukirudia ule ujinga wa kumuomba rais ndiye atupe katiba mpya wakati hii mbovu ndio imemfanya afanikishe huu uhuni tutakuwa hatujui tulifanyalo.

Tuanzishe tovuti rasmi la katiba mpya watu waanze kutoa maoni yao na mwisho wa siku wananchi tutengeneze rasimu kisha kushinikize iitishwe "Referendum" tuipitishe.

Kwa njia hii lazima jumuiya ya kimataifa itatuunga mkono na tutaondokana na hii dhuluma. Nje ya hapo tutaendeleza kilio tu siku zote.
 

Enjoy this amazing beauty of JF, jukwaa ambalo linamwezesha hata kenge kujaribu kuwaanisha viumbe wengine kuwa yeye ni mamba!
 
Ndugu, tuombe afya na uzima tuone. Wapinzani hawakuwahi kuwazuia kufanya watakalo, kwa wingi wao bungeni na kwenye mabalaza ya madiwani wao ndo waamuzi. Wapinzani wanasingiziwa tu.
Kweli ni suala la mda tu kuyajua haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…