Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Na wengi wa WASIMAMIZI walkua Waalimu wa shule za sekondari na za msingi

Hii laana itawatuna Kizazi chenu chote[emoji3525]
Nasikia this time walimu wengi walipigwa chini. Walichukua vijana waliopo mtaani. Sijui lina asilimia ngapi ya ukweli hili.
 
Constitution and CONSTITUTIONALISM.

Sasa hivi tu itokee tukabidhiwe mifumo ya utawala ya marekani, utaona tutakavyoichafua na kuivuruga.

Kwa kweli ustaarabu unaanzia kichwani wala hauletwi kwenye maandishi yaliyoko kwenye vijarida vinavyoitwa Katiba.

Nyani anaweza kuja mjini lakini pori likabaki kichwani kwake.
Exactly.

Ndiyo maana mimi naona katiba mpya ni kitu muhimu sana, sitaki kukataa ukweli huo. Lakini, mara nyingine tunaisingizia tu.

Kwa sababu kuna mambo tunaweza kuyafanya na katiba ya sasa na hatujayafanya.
 
Umeandika vyema. Tatizo si katiba tatizo watu. Leo kuna braza mmoja aliniambia kwa mara ya kwanza kaipigia kura CCM maana walimpa Pesa.Pesa yenyewe sidhani kama inazidi elfu 20.
Ameuza haki yake ya kuzaliwa kwa kikombe cha uji!
 
Umeisoma katiba mpya? Kuna mambo mke yanampunguzia madaraka rais hivyo ni rais kumu impeach rais, hata wakitenganisha kofia itasaidia maana hakuna sehemu rais anakutana na wabunge kama boss wao, judiciary lazima iwe parallel na mihimili mingine tutafute utaratibu wa kumfuata judge mkuu na ma judge na vyombo vya kumuimpeach view ndani ya judiciary
Kuna swali moja la msingi kabisa hujalijibu.

Ikiwa Magufuli anavunja katiba ya sasa, mathalani, anakataza mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba, na hakuna aliyempinga na kuzuia hilo.

Mkipewa katiba mpya yenye vipengele vyote mnavyovitaka, akaivunja, mtakuwa na uwezo gani wa kumpinga?

Kumpinga Magufuli hakuhitaji katiba mpya, kwa sababu kuna vipengele vya katiba ya sasa anavivunja na watu hawampingi.

Tuna udhaifu katika watu, kabla hatujafika kwenye katiba.

Katiba mpya ni kama gari, gari zuri sana, tuseme Ferrari.

Sasa hivi tuna kigari kibovu, ki Volkswagen Beetle cha zamani.

Unachosema wewe ni kwamba, tupate gari zuri, Ferrari, litatuwezesha kwenda kasi.

Mimi nakuambia hivi, kuwa na gari zuri kama Ferrari ni muhimu, litatusaidia kwenda kasi.

Lakini, mbona dereva wetu hajui kuendesha gari, hata hili Volkswagen Beetle hawezi kuliendesha?

Kama kashindwa kuliendesha hili Volkswagen Beetle, hilo Ferrari atawezaje kuendesha?

Kama tatizo letu ni dereva asiyejua kuendesha gari, hata tukipewa Ferrari, bado atakuwa hawezi kuendesha tu.

Katiba mpya ni muhimu.Lakini, katiba mpya haileti mabadiliko, watu ndio wanaoleta mabadiliko.
 
Ameipigia kura CCM kwa mara ya kwanza (kura ni haki ya uraia Tanzania) maana wamempa pesa (sababu ya kupiga kura hivyo ni pesa).

Ameuza haki yake ya uraia kwa hela ndogo sana ambayo nimeifananisha na kikombe cha uji.
Nimekusoma mkuu
 
Watanzania wengi sana bado hawana akili na jana limenitokea na nimethibitisha kuwa wengi wetu hawana akili.
Kama unachosema ni kweli - mimi sitaki kutumia maneno makali kama yako-, basi wanaweza kupewa katiba mpya ina vipengele vyote vizuri, na wakashindwa kuitumia.
 
Kuna swali moja la msingi kabisa hujalijibu.

Ikiwa Magufuli anavunja katiba ya sasa, mathalani, anakataza mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba, na hakuna aliyempinga na kuzuia hilo.

Mkipewa katiba mpya yenye vipengele vyote mnavyovitaka, akaivunja, mtakuwa na uwezo gani wa kumpinga?

Kumpinga Magufuli hakuhitaji katiba mpya, kwa sababu kuna vipengele vya katiba ya sasa anavivunja na watu hawampingi.

Tuna udhaifu katika watu, kabla hatujafika kwenye katiba.

Katiba mpya ni kama gari, gari zuri sana, tuseme Ferrari.

Sasa hivi tuna kigari kibovu, ki Volkswagen Beetle cha zamani.

Unachosema wewe ni kwamba, tupate gari zuri, Ferrari, litatuwezesha kwenda kasi.

Mimi nakuambia hivi, kuwa na gari zuri kama Ferrari ni muhimu, litatusaidia kwenda kasi.

Lakini, mbona dereva wetu hajui kuendesha gari, hata hili Volkswagen Beetle hawezi kuliendesha?

Kama kashindwa kuliendesha hili Volkswagen Beetle, hilo Ferrari atawezaje kuendesha?

Kama tatizo letu ni dereva asiyejua kuendesha gari, hata tukipewa Ferrari, bado atakuwa hawezi kuendesha tu.

Katiba mpya ni muhimu.Lakini, katiba mpya haileti mabadiliko, watu ndio wanaoleta mabadiliko.
Nguvu ya umma
 
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.

Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.

Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.

Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?

Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
HONGERAAAA kwa utiifu wa mamlaka, haina haja ya kutuelezea ujinga, kama muliufanya.
 
Kiranga, upo, bro?[emoji3]

Nadhani katika hili tunaweza kuongea lugha moja; katiba mpya siyo panacea!
 
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.

Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.

Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.

Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?

Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Na Katiba mpya ng'o! Asilani!!,
 
Bila tume huru wapinzani hawawezi kushinda.
Huku kwetu waliambiwa wahakikishe Mzee anaongoza kwa asilimia 90 kila kituo na walijaza mawakala kibao ambao ni mamluki.
Kuna mwalimu mmoja baada ya kupindua meza RAIA wamemvunja Mguu wa kulia kwa kipigo.Mgambo wa kata walikimbia.
 
Ni hadi pale vyama vya upinzani vitapunguzwa huu utiriri wa vyama ambavyo vingine havina hata ofisi utawafikisha wapi? inatakiwa wapinzani waungane kwanza halafu wamchague mtu ambaye ni serious na anayeheshimika siyo mtu anaye ropoka ropoka. Wajipange tena mwaka 2020. Western countries hazimpemdi Magufuli kisa mjamaa lakini kaondoa rushwa kabisa
 
Kiranga, upo, bro?[emoji3]

Nadhani katika hili tunaweza kuongea lugha moja; katiba mpya siyo panacea!
Nipo mkuu.

Tutaelewana tu hata kule kwingine.My epistemology is consistent.

Contradiction ni pale wanaompinga Magufuli kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu (ndege, barabara, fyovers etc) badala ya maendeleo ya watu (afya, elimu), wao wenyewe wanaweka kipaumbele kwenye maendeleo ya vitu (katiba mpya) badala ya maendeleo ya watu (elimu ya uraia kuweza kutumia katiba hata iliyopo sasa).

Hii ni contradiction miongoni mwa wapinzani wa Magufuli wanaotaka kuanza na katiba mpya kama suluhisho la matatizo yetu.

Katiba mpya ni moja ya tool muhimu.

Lakini kama tool yoyote kwenye toolbox, ili tool iweze kuwa na tija, inabidi awepo mtu anayejua na anayethubutu kuitumia tool.
 
mkuu kila mtu anasema ilivokuwa.na mim pia nilikua msimamiz tena wameridhika mawakala wote tena ilikua unakunjua karatas moj moja inasomwa kwa sauti.inaonekana na kila mtu. muganyizi acha uongo.mpaka box tumekung'uta
Jisemee mwenyewe usisemee wote! Mbona kila kitu kiko wazi!
 
Back
Top Bottom