Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo hata maandamano yakudai haki hutoshiriki?Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Constitution and CONSTITUTIONALISM.Katiba iliyopo watu wameshindwa kuitumia.
Magufuli kapiga marufuku mikutano kinyume na katiba.
Hiyo mpya mkipewa halafu akaivunja hivyo hivyo, mtafanya kipi cha tofauti?
Mimi naona katiba mpya ni muhimu, ila mara nyingi inafanywa kuwa kisingizio tu.
Katiba haileti mabadiliko. Watu ndiyo huleta mabadiliko.
Sasa kama watu hawana muamko, katiba mpya itasaidiaje?
Vyama mbona viko vingi sema havina uwakilishi bungeni. Labda viamue kujifuta vyenyeweHatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Hata kama mamlaka inakuamrisha kufanya dhambi?Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Toba hii haikubaliki ni mpaka watanzania wote watakapo kusamehe!Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Wewe ndie muongo na unaetete uovu... ila utalipwa kwa uovu wenu kila aliemo hatoki!wewe ni muongo. sisi pia tumesimamia mpaka kubandika tena tunaikung'uta karatas moja moja na mawakala wote wapo.mwisho wa siku matokeo yalitoka jpm [emoji818]
wewe labda hukuwa msimamizi.sema haki
Mbele kwa mbeleKuna wakati wazazi kama wamekupangia hamna namna. Unaoa tu kisha mapenzi yatakuja mbele ya Safari.
Wengine walikuwa wanaambiwa kama unata kazi saini duuu! hapo unaamua kusuka ama kunyoaToba hii haikubaliki ni mpaka watanzania wote watakapo kusamehe!
mkuu kila mtu anasema ilivokuwa.na mim pia nilikua msimamiz tena wameridhika mawakala wote tena ilikua unakunjua karatas moj moja inasomwa kwa sauti.inaonekana na kila mtu. muganyizi acha uongo.mpaka box tumekung'utaWewe ndie muongo na unaetete uovu... ila utalipwa kwa uovu wenu kila aliemo hatoki!
Hao ni wapingaji FC na sio wapinzani, mpinzani huwa anakubali kushindwaWakishinda wapinzani haki imetendeka, ila wakishindwa hakuna haki, tulia sindano iwaingie
HIVI HUYU MZEE AKISTAAFU ATAISHI DUNIA YA WAPI? ATAISHI NA NANI?Amewanyima tu hao wapinzani ajira ya ubunge, udiwani na hata huo Urais! Ila upinzani hauwezi kufa kamwe. Hata ndani ya hicho chama chake, upinzani na makundi yatendelea tu kushamiri.
Yaani tumerudishwa enzi za Mwalimu! Hovyo kabisa.
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Sasa wewe uliyeanzia safari kituoni naona pia huelewi unaelekea wapi.Kumbe umedandia gari kwa mbele
Kweli ni suala la mda tu kuyajua hayaNdugu, tuombe afya na uzima tuone. Wapinzani hawakuwahi kuwazuia kufanya watakalo, kwa wingi wao bungeni na kwenye mabalaza ya madiwani wao ndo waamuzi. Wapinzani wanasingiziwa tu.