hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Nasikia this time walimu wengi walipigwa chini. Walichukua vijana waliopo mtaani. Sijui lina asilimia ngapi ya ukweli hili.Na wengi wa WASIMAMIZI walkua Waalimu wa shule za sekondari na za msingi
Hii laana itawatuna Kizazi chenu chote[emoji3525]
Toba ni Toba tu blaza. Mwache ndugu atafute amani.Toba hii haikubaliki ni mpaka watanzania wote watakapo kusamehe!
Exactly.Constitution and CONSTITUTIONALISM.
Sasa hivi tu itokee tukabidhiwe mifumo ya utawala ya marekani, utaona tutakavyoichafua na kuivuruga.
Kwa kweli ustaarabu unaanzia kichwani wala hauletwi kwenye maandishi yaliyoko kwenye vijarida vinavyoitwa Katiba.
Nyani anaweza kuja mjini lakini pori likabaki kichwani kwake.
Ameuza haki yake ya kuzaliwa kwa kikombe cha uji!Umeandika vyema. Tatizo si katiba tatizo watu. Leo kuna braza mmoja aliniambia kwa mara ya kwanza kaipigia kura CCM maana walimpa Pesa.Pesa yenyewe sidhani kama inazidi elfu 20.
Hajasema kama aliuza haki yake lakiniAmeuza haki yake ya kuzaliwa kwa kikombe cha uji!
Kuna swali moja la msingi kabisa hujalijibu.Umeisoma katiba mpya? Kuna mambo mke yanampunguzia madaraka rais hivyo ni rais kumu impeach rais, hata wakitenganisha kofia itasaidia maana hakuna sehemu rais anakutana na wabunge kama boss wao, judiciary lazima iwe parallel na mihimili mingine tutafute utaratibu wa kumfuata judge mkuu na ma judge na vyombo vya kumuimpeach view ndani ya judiciary
Ameipigia kura CCM kwa mara ya kwanza (kura ni haki ya uraia Tanzania) maana wamempa pesa (sababu ya kupiga kura hivyo ni pesa).Hajasema kama aliuza haki yake lakini
Nimekusoma mkuuAmeipigia kura CCM kwa mara ya kwanza (kura ni haki ya uraia Tanzania) maana wamempa pesa (sababu ya kupiga kura hivyo ni pesa).
Ameuza haki yake ya uraia kwa hela ndogo sana ambayo nimeifananisha na kikombe cha uji.
Kama unachosema ni kweli - mimi sitaki kutumia maneno makali kama yako-, basi wanaweza kupewa katiba mpya ina vipengele vyote vizuri, na wakashindwa kuitumia.Watanzania wengi sana bado hawana akili na jana limenitokea na nimethibitisha kuwa wengi wetu hawana akili.
Nguvu ya ummaKuna swali moja la msingi kabisa hujalijibu.
Ikiwa Magufuli anavunja katiba ya sasa, mathalani, anakataza mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba, na hakuna aliyempinga na kuzuia hilo.
Mkipewa katiba mpya yenye vipengele vyote mnavyovitaka, akaivunja, mtakuwa na uwezo gani wa kumpinga?
Kumpinga Magufuli hakuhitaji katiba mpya, kwa sababu kuna vipengele vya katiba ya sasa anavivunja na watu hawampingi.
Tuna udhaifu katika watu, kabla hatujafika kwenye katiba.
Katiba mpya ni kama gari, gari zuri sana, tuseme Ferrari.
Sasa hivi tuna kigari kibovu, ki Volkswagen Beetle cha zamani.
Unachosema wewe ni kwamba, tupate gari zuri, Ferrari, litatuwezesha kwenda kasi.
Mimi nakuambia hivi, kuwa na gari zuri kama Ferrari ni muhimu, litatusaidia kwenda kasi.
Lakini, mbona dereva wetu hajui kuendesha gari, hata hili Volkswagen Beetle hawezi kuliendesha?
Kama kashindwa kuliendesha hili Volkswagen Beetle, hilo Ferrari atawezaje kuendesha?
Kama tatizo letu ni dereva asiyejua kuendesha gari, hata tukipewa Ferrari, bado atakuwa hawezi kuendesha tu.
Katiba mpya ni muhimu.Lakini, katiba mpya haileti mabadiliko, watu ndio wanaoleta mabadiliko.
HONGERAAAA kwa utiifu wa mamlaka, haina haja ya kutuelezea ujinga, kama muliufanya.Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Acha kuchafua kitabu chetu kitakatifu kwa kufananisha na uchafu wa ccm. CCM ni shetani pure likitamalaki Tanzania.Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Kuna swali moja la msingi kabisa hujalijibu.
Ikiwa Magufuli anavunja katiba ya sasa, mathalani, anakataza mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba, na hakuna aliyempinga na kuzuia hilo.
Mkipewa katiba mpya yenye vipengele vyote mnavyovitaka, akaivunja, mtakuwa na uwezo gani wa kumpinga?
Kumpinga Magufuli hakuhitaji katiba mpya, kwa sababu kuna vipengele vya katiba ya sasa anavivunja na watu hawampingi.
Tuna udhaifu katika watu, kabla hatujafika kwenye katiba.
Katiba mpya ni kama gari, gari zuri sana, tuseme Ferrari.
Sasa hivi tuna kigari kibovu, ki Volkswagen Beetle cha zamani.
Unachosema wewe ni kwamba, tupate gari zuri, Ferrari, litatuwezesha kwenda kasi.
Mimi nakuambia hivi, kuwa na gari zuri kama Ferrari ni muhimu, litatusaidia kwenda kasi.
Lakini, mbona dereva wetu hajui kuendesha gari, hata hili Volkswagen Beetle hawezi kuliendesha?
Kama kashindwa kuliendesha hili Volkswagen Beetle, hilo Ferrari atawezaje kuendesha?
Kama tatizo letu ni dereva asiyejua kuendesha gari, hata tukipewa Ferrari, bado atakuwa hawezi kuendesha tu.
Katiba mpya ni muhimu.Lakini, katiba mpya haileti mabadiliko, watu ndio wanaoleta mabadiliko.
Kutii mamlaka inayofuata sheria.Mamlaka isiyofuata sheria Biblia inasema iondelewe na HAKI itamalaki kwa watu wote.Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Na Katiba mpya ng'o! Asilani!!,Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Nipo mkuu.Kiranga, upo, bro?[emoji3]
Nadhani katika hili tunaweza kuongea lugha moja; katiba mpya siyo panacea!
Nop ..toba nyengine zina masharti hasa zinazohusisha haki za watu!Toba ni Toba tu blaza. Mwache ndugu atafute amani.
Jisemee mwenyewe usisemee wote! Mbona kila kitu kiko wazi!mkuu kila mtu anasema ilivokuwa.na mim pia nilikua msimamiz tena wameridhika mawakala wote tena ilikua unakunjua karatas moj moja inasomwa kwa sauti.inaonekana na kila mtu. muganyizi acha uongo.mpaka box tumekung'uta