Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Inazuia ndio

[emoji117]Mkurugenzi wa tume na wajumbe ni wateule wa rais (haipaswi kua hivyo)

[emoji117]Wasimamizi wa uchaguz (wakurugenzi wa wilaya) ni wateule wa rais

[emoji117] Ukija kwenye usalama , hawa askari, IGP na baadhi ya makamanda pale juu ni wateule wa Rais

[emoji117] wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama (Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ) wote ni wateule wa rais

[emoji117]Wasimamiz wa uchaguz vituoni iwepo mamlaka nyingine ya kuwaajiri ambayo ni huru, sio wateule wa rais

Mfano hili tu
[emoji117]Ha wote wanashirikiana kwenye kuiba kura, Katiba mpya inatakiwa badilisha huu mfumo , wadau wote wa uchaguzi wasiwe wateule wa rais na vile vile police isihusike wala hata kidogo kwenye maswala haya , wao wawe observer tu , na wasogee karibu pale watakapo hitajika tu

hili dogo tu , fanya alafu uone matokeo yake
 

Maendeleo ya vitu vs maendeleo ya watu ni debate ambayo haina kichwa wala miguu. In some way, it’s a version of the chicken-or-egg puzzle!

If you cannot reap the full benefit of the current law, there’s no reason to believe that you’ll reap the full benefit of a desired new law.
 
Vijijini kilichotembea ni mlungura yaani ulitembezwa hasa so unakuta wizi haukufanyika kwenye box ila ulichezeshwa wewe msimamizi bila kujua.Kwa mfano
Kuna vijiji na kata nyingi tu ambazo wanaccm walijipanga sana kugawa pesa na wakafanikiwa wasimamizi kuja kustuka too late jamaa washamaliza mchezo yaani wanaccm walikuwa wanawapigia kura waliowanunua kwa kisingizio eti hawajui kuandika kumbe washamalizana nje wanakuja ndani kukamilisha ratiba tu kwa hivyo michezo iliyochezwa nje si ya kitoto huenda kuna fungu kabisa lilitolewa kila wilaya na hapo dola nayo ilikuwa upande wao so game zote jicho kwa wapinzani tu
 
Tunatakiwa kujenga taifa la watu wanaoaminiana na kuheshimiana kama ndugu.
Ukosefu wa maadili ya kibinadamu, wizi wa kura na udanganyifu kwa jina la siasa havitakiwi kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Kwa hiyo wakiwekwa wasio wateule wa rais tumemaliza tatizo?

Hao wabunge wa upinzani waliotoka upinzani na kwenda CCM walikuwa wateule wa rais?

Joshua Nassari alikuwa mteule wa rais?

Unahitaji kuwa mteule wa rais ili kurubuniwa na CCM?
 
Umeongea mambo deep.

Denate ya vitu/watu ni kama "wave-particle duality" katika physics.

Is light a wave or a particle? Ukienda deep utakutana na Heisenbergs Uncertainty principle na E= MC squared.Vitu ni watu, na watu ni vitu.

Ndiyo maana unaambiwa "mtu hataishi kwa mkate pekee", halafu hapo hapo unaambiwa "utupe leo riziki yetu".
We need both, there is no mutual exclusivity.

Idealism without materialism is utopia.Materialism without idealism is anarchy.

If you cannot exhaust 1 million shillings, you have no right to ask for 10 million shillings.
 
[emoji375][emoji375][emoji375]
 
Mahakama ya Rufani imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu. Miaka michache iliyopita, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wassimamie uchague. Mwanasheria Mkuu wa serikali akaenda Mahakama ya Rufaa ambayo ilitengua uamzi wa Mahakama Kuu. Kwa kiasi kikubwa maamzi ya mahakama ya Rufaa yamechangia dhuluma tuliyoshuhudia kwenye uchaguzi huu.
Wasimamizi wa uchaguz (wakurugenzi wa wilaya) ni wateule wa rais
 
katiba iliyopo inampa mamlaka makubwa Raisi kiaso cha kuwa juu ya sheria na kuvunja katika huku hyo katiba ikimsimamia😥😥😥
 
Wabongo wengi wanataka walale alafu waamke kesho wakute wameletewa AMANI na Kigogo au Mange kimambi kwenye sshani.
 
Si ajabu ukajirudia.

Eti wanaokota wakala hana kadi ya mpiga kura hata kadi ya chama. You guys are you serious?

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Wakurugenzi wengi ni makada wa chama tawala,hii ni kasoro kubwa yaani kuwapa kuwa wasimamizi wa uchaguzi ,imeleta shida na uonevu kwa mawakala.
Hata wasimamizi wasaidizi walikuwa wanapewa maagizo kutoka Mamlaka zingine kama Wakuu wa Mikoa na Wilaya bila Tume ya Uchaguzi Taifa kufahamu au wakiwa wanafahamu na hivyo kuondoa uhuru na haki katika usimamizi.
Siku zijazo kasoro hizi ziangaliwe ili uchaguzi uwe huru na haki.
 
katiba iliyopo inampa mamlaka makubwa Raisi kiaso cha kuwa juu ya sheria na kuvunja katika huku hyo katiba ikimsimamia[emoji26][emoji26][emoji26]
Katiba iliyopo haimruhusu Rais kukataza mikutano ya kisiasa.

Rais kakataza mikutano ya kisiasa. Kinyume na katiba.

Hakuna aliyeweza kumpinga kwamba kavunja katiba.

Mpaka hapo, tatizo letu si katiba.
 
Wakishinda wapinzani haki imetendeka, ila wakishindwa hakuna haki, tulia sindano iwaingie
Akishinda yeyote kwa HAKi ni sawa.. tatizo ni pale mtu anaposhinda kwa HILA na WIZi kinyume na matakwa ya wapiga kura
 
[

Ungejiandika jina lako kamili, kurusha na kitambulisho chako na kuweka picha.. tukupe pongezi na tuzo.. hapo ungekuwa hujaandika kama ulivyoamua kuumia roho na kudanganya humu.. ungejari na kuumia ungeyasema hata kabla.. wafanganye wengine.. wafata upepo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…