Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Inazuia ndioSasa katiba mpya itazuia wizi wa kura?
Maana sasa hivi tatizo CCM wameharibu uchaguzi kwa ballot stuffing, mpaka upinzani unepata wabunge wachache sana.
Sasa, katiba mpya itazuiaje hilo?
Hilo tatizo halikubaliki hata kwa sheria na katiba ya sasa.
Na upinzani umeshindwa kutumia katiba na sheria za sasa kulimaliza.
Katiba mpya itasaidia vipi hapo?
Tuulizane vizuri tueleweshane, tusije kusingizia katiba mpya kama ufumbuzi wa matatizo ambayo hata katiba ya sasa haiyakubali.
[emoji117]Mkurugenzi wa tume na wajumbe ni wateule wa rais (haipaswi kua hivyo)
[emoji117]Wasimamizi wa uchaguz (wakurugenzi wa wilaya) ni wateule wa rais
[emoji117] Ukija kwenye usalama , hawa askari, IGP na baadhi ya makamanda pale juu ni wateule wa Rais
[emoji117] wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama (Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ) wote ni wateule wa rais
[emoji117]Wasimamiz wa uchaguz vituoni iwepo mamlaka nyingine ya kuwaajiri ambayo ni huru, sio wateule wa rais
Mfano hili tu
[emoji117]Ha wote wanashirikiana kwenye kuiba kura, Katiba mpya inatakiwa badilisha huu mfumo , wadau wote wa uchaguzi wasiwe wateule wa rais na vile vile police isihusike wala hata kidogo kwenye maswala haya , wao wawe observer tu , na wasogee karibu pale watakapo hitajika tu
hili dogo tu , fanya alafu uone matokeo yake