Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.

Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.

Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.

Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?

Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Ndioo maandiko yenyewe yanasema itiini mamlaka ilio huu yenu..
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Hili kosa utakufa nalo, hakuna jambo baya kama kuusaliti umma.
 
.
FB_IMG_1604027510826.jpg
 
hiyo katiba mpya msahau kabisa, haya makosa yataleta uongozi wa kudumu
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Guilty conscious ndio iliyopo sasa wapo wengi wanasema kitu hichohicho
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole sana Kamanda ...Siasa sio lelemama.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Inawezekana Hujajielewa bado ila nakwambia neno moja tuu kama wa kusikia basi sikia :-

DHAAALIM
 
Msichojua ni kwamba hiyo sindano huishia kuwachoma wote.... Unamkumbuka yule gwiji wa nyimbo za mbogamboga marehemu kapteni Komba? Ndiye aliyetunga ule wimbo maarufu wa wapinzani wataisoma namba. Muda mfupi baadaye yeye ndiyo akaanza kuisoma namba kwa kudaiwa kodi lukuki na mikopo ya benki kila kona, mwishowe shule yake ikadakwa na moja ya benki... Na ugonjwa ukachanganya, Mungu naye akamuita.... [emoji23] [emoji23]
Hili ni la kwetu wote. Tunapaswa kumuomba Mungu atuondolee matatizo yote yanayoweza kutokea.
 
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.

Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.

Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.

Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?

Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Acha mbwembwe, nimesimamia kituo kinaitwa Wankorongo, Lissu kapata kura mbili! Kubalini mmepigwa kichapo cha mbwa mwizi, laana ya Dr Slaa hii, mkome kukumbatia wapenda kufumuana mitaro!
 
Mimi nilichokuwepo nilisikia watu hawamuamini kabisa wakala wa CHADEMA
Kituo nilichopigia kura mawakala wa upinzani hawakuwepo walifukuzwa kabisa kisa hawakupewa barua ya utambulisho na mkurugenzi, sehemu nyingine walitishiwa maisha la sivo wanauliwa, mawakala ikabidi wasepe tu.
 
Hujui kuwa hata kiti cha shetani ni mamlaka?
Sio kila mamlaka ni ya kuitii.
Wana wa Israel wangekuwa malofa wangeendelea kuitii mamlaka ya Kimusri mpaka leo na Safari ya Israel Misri to Kanaani Isingeandikwa vitabuni
Tuendelee kujifunza. Tutaelewa baadae. Ni kama kunywa mtori nyama utakutana nazo chini. Ipo siku tutaelewa vizuri zaidi
 
Ndugu yangu tumepoteza. What happened is a pre- cursor of bad thing.
Mi siamini kwenye hilo. Kuna mengi mazuri yanakuja. Tutarajie kuona mafanikio mengi. Nchi hii ni yetu sote. Kama wapinzani ndio walikuwa wanakwamisha maendeleo naamini sasa ndio mda wa kuangalia visingizio vya wakati uliopita kama vitakuwa vilevile wakati ujao. Tuendelee kuwa wavumilivu kaka. Mda utatuambia
 
Ccm huu wizi wa kijinga na kipumbavu hata mimi mme akilewa huwa siibi hela zote asije kushtukia mchezo sasa nyinyi mnaiba hadi mnapitiliza nimeona matokeo ya ubunge shinyanga mjini na urais yaani havina uhusiano kabisa
 
Back
Top Bottom