Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama na wewe ulikua wakala na walikuona kabisa unafaa kuwa jicho lao...Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Hata hivyo katika Biblia kitabu cha Yakobo 4:7 neno linasema "mpingeni shetani naye atawakimbia". neno shetani linasimama badala ya "mamlaka ovu"Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Soma uelewe!Me Sikuwa wakala.Kama na wewe ulikua wakala na walikuona kabisa unafaa kuwa jicho lao...
nikiri tu kwamba walichagua wakala mwenye sifa za YUDA ESKARIOTE maana....
haiwezekani uaminiwe,ujiaminishe kwao halafu mwisho wa siku uje utoe sababu nyepesi....
kama pamba,eti umetubu ni sawa umetubu ila wewe ni MSALITI tu kaone kalivyo na kasura kake....
Daaaah. NomaKUHUSU mawakala waondolee dhambi kwani wengi walikuwa na akili ya Hali ya juu.
Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika mawakala wengi walitaka wahesabu kwanza vibutu zilikochanwa kura ili wajue wapiga kura NI wangapi then ndo wahesabu kura msimamiz anakataa na kupiga simu police station eti kituo hiki kina fujo polisi wanakuja wanachukua msimamizi na mabox na kutokomea kusikojulikana na kumwacha wakala pale hajui la kufanya mbaya ZAIDI waliambiwa wasiwe na simu
Huyu jamaa mtu wa dili dili anaonekanaUsijali Armstadam yupo atawasaidia.
Doh!Wala hatulalamiki, tumeacha kulalamika sababu haisaidii, ila malipo ya dhulma ni Laana na KIFO
Ndio maana ni muhimu Sana kuhesabu gharama kabla ya kuanza mradi wowote ule. Na katika kuangalia gharama lazima uorodheshe associated risks na namna ya kuzi mitigate maana kila risk ina njia ya kukabiliana nayo. Nyingine una mitigate ila nyingine unazimeza jumla jumla kama zilivyo. Am sure waliyaona haya yote.Napata uchungu sana pale napokumbuka kuwa vyama vinatumia gharama kubwa sana kufanya kampeni, mfano kukodi chopa sio pesa ndogo! Pia gharama hizi kuna nyingine zinalipwa cash na nyingine yanakuwa ni makubaliano ya kuja kulipa baadae uchaguzi kupitia mafanikio ambayo chama kitayapata!
Sasa inapotokea mafanikio tarajiwa ya chama yakahujumiwa tena pakubwa kama hivi, kiukweli ni hasara sana!
Bora uingie hasara ambayo unajua kabisa kwamba umeisababisha mwenyewe lakini sio hasara ya kusababishiwa na mtu tena katika mazingira ya kulazmisha!
Mwenyezi Mungu akawafariji na kuwarudishia pale walipopungukiwa wale wote walioingizwa hasara za kulazmishwa!
Pia akawalipe mshahara wao wale wote waliohusika kuumiza wenzao! Naamini Mungu wetu ana macho anaona mpaka ya sirini!
DuuuuuhWatanzania tunajua CCM imeshinda kwa kishindo, hayo mengine mtajua wenyewe na mtahukumiwa kila mtu kwa wakati wake.
Waliambiwa na......?Mawakala waliambiwa hawatopewa barua za utambulisho baada ya kuapa bali tume yenyewe ndo itapeleka barua kwa wasimamizi wa vituo. Kua sehemu nyingine tume ilipeleka na sehemu nyingine haikupeleka kabisa. Na huwezi kuipangia tume
Eti eeeeeh???!!!!Kikubwa rais wetu mpendwa kashinda kwa kishindo, tunamuomba apunguziwe ulinzi, maana sasa hivi hana maadui tena kila mtu anampenda
Ni kama sasa hivi tumeamkia Norway na tunazururia Australia, Ujerumani na kwingineko.Tanzania kama Ulaya, tumechelewa sana!
Hiyo sijasema. Wewe wasemaNdo biblia imesema viongozi wenu wakiiba kura muwatii?
Kuna wakati wazazi kama wamekupangia hamna namna. Unaoa tu kisha mapenzi yatakuja mbele ya Safari.Swali fikirishi, je unaweza lazimishawa kuolewa ama kumuoa usiye mpenda? na je kuna madhara?
Na system haiwezi kuwachoka kwa sababu huko wamejazana makada wa chama tawala na wanalipana mishahara mizuri pamoja na marupurupu, so ni mwendo wa kulindana tu. Ili ccm itoke ni lazima sisi wananchi tuamke kutoka usingizini na kuikataa kwa nguvu zoteHiyo katiba mpya itapatikana vipi bila CCM kuwekwa oembeni kwanz?
Nionavyo ili CCM itoke cha kwanza System ya nchi iwachoke hapa nazungumzia TISS na JWTZ
Je, na huyu Idi Amini Dada Oumee wa Uganda aliyepindua mamlaka iliyokuwa ikitawala kipindi kile (1971), naye kifungu hiki cha Biblia (Warumi 13:1-7) kilikuwa kinamhusu?Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Haswaa,huyu ni wakili wa kimataifa mpigaji.bila pesa itaishia kuwapamatumaini kwa kupost matamko tweeter.Huyu jamaa mtu wa dili dili anaonekana
Ni kama sasa hivi tumeamkia Norway na tunazururia Australia, Ujerumani na kwingineko.