Tuliosoma nao wakishakuwa Madaktari wa Falsafa(PhD) wanajikuta sana. Hivi inawasaidia nini?

Mwamba baada ya miaka minne na mie nitakuwa nina Phd ila sitokuwa mkuda kama hao wengine 😅😅😅
 

Sijawahi ona mtu ana PHD au Prof aafu akaitwa Rachel.
 
Halafu PHd zenyewe za kiswahili ama historia hana analoliweza zaidi ya kuwa mealimu chuokikuu [emoji16][emoji16]
Wapo kibao hata exclusive places hawawezi kuonekana on daily basis, we make money and we live normal na tuko smart na tupo kitaa tumejiajiri na tumeajiri watu lukuki, na tuna impact kwenye jamii
 
Wapo kibao hata exclusive places hawawezi kuonekana on daily basis, we make money and we live normal na tuko smart na tupo kitaa tumejiajiri na tumeajiri watu lukuki, na tuna impact kwenye jamii
Hata kiinglish chako ni njaa tu. Kajiunge angalau open university nawe upate PhD ili kiranga kikutoke.
 
Utakuta kwenye bar kubwa kwenye viti virefu, darasa la Saba tajiri anakaa na professor wanashindana kwa hoja. Kijana anasema maisha ni pesa, sijui professor atajibu nini.
 
Maringo ni hulka na haiwezi kuletwa na PHD,nawafahamu watu wengi wenye academic titles kubwa na wako very humble halafu..kama haikuletei unafuu katika maisha wala furaha si lazima na wewe kwa nini unamingle na watu ambao tayari hamshei maono,maana inaonekana we si muumini wa hizo elimu ndefu
 
Ukiona mtu amesoma ana Master au PhD basi ujue ni masikini maisha hawez kuyapatia kapoteza muda mwingi darasani... Kwahio wanakuaga na upumbav fulani hivi wakujiona wasomi kumbe wapumbavu tu wasio na maisha
 
Wanatusua kimaisha acha wivu.
 
Ndiomana nimesema mwanzo sio kwa ubaya na sio wote ila wengi akishapata PhD anaona yuko mawinguni karibu na mbinguni, human relations or interaction haina uhusiano na elimu ya mtu. Wanavyojikuta hawa wadudu wenye PhD
We unzungumzia PhD? Masters tu tunajaa pipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…