National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Mwamba baada ya miaka minne na mie nitakuwa nina Phd ila sitokuwa mkuda kama hao wengine 😅😅😅Mmoja wao ni Mwigulu elimu yangu ya uchumi ni Kali kumzidi, hawa wengine tunaokutana nao kwenye maeneo yetu, vina mshahara Milioni 4 hadi 5 vinavimba sasa huo mshahara au pesa ya kulimia tu na vibarua wangu.
Kuna mmoja nilishamuuliza na maringo yako ya hiko PhD unaweza kunywa Hennessy kila siku na mchepuko kila siku akabaki lofa tu, PhD ni ofisini kwako sio kitaa