DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Phd nayo ni elimu kila mtu anayoAliyekuzidi kakuzidi Mtu mwenye Elimu huwezi mpata PhD sio mchezo Mkuu
Pesa huwezi mtambia mtu maana kila Mtu anazo tumezidiana viwango usicheze na Elimu
Sio kila Mtu anaweza Kupata PhD , lakini pesa kila Mtu anayo utofauti ni viwangoPhd nayo ni elimu kila mtu anayo
Sio kila mtu anaweza kupata 1bil, lakin elimu kila mtu anayo utofauti ni viwangoSio kila Mtu anaweza Kupata PhD , lakini pesa kila Mtu anayo utofauti ni viwango
Si kwa ubaya ila inaonekana wewe ndio mwenye shida.Mmoja wao ni Mwigulu elimu yangu ya uchumi ni Kali kumzidi, hawa wengine tunaokutana nao kwenye maeneo yetu, vina mshahara Milioni 4 hadi 5 vinavimba sasa huo mshahara au pesa ya kulimia tu na vibarua wangu.
Kuna mmoja nilishamuuliza na maringo yako ya hiko PhD unaweza kunywa Hennessy kila siku na mchepuko kila siku akabaki lofa tu, PhD ni ofisini kwako sio kitaa
Sanaaa🤣🤣anakubebisha eeh
Sawa Dr Pellaiah PhdSanaaa🤣🤣
Wewe acha hizoPhd nayo ni elimu kila mtu anayo