Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

Mussa Mohamed, alikuwa PCM , nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye safu ya kumchukulia rollcall na pass ya kwenda mjini, bahati mbaya ticha wa zamu alikuwa ananifahamu nikashindwa kwenda akajitosa jamaa anaitwa Juma Bundala, inshort jamaa hakwenda kutafuta feki coz NECTA ilikuwa bado karibia miezi 2, jamaa alienda dar kuwanunukia washkaji wawili simu ambao ni Siriri na Mashaka, mussa alitaka kupata cha juu ndo ikawa bahati mbaya akakutwa na mauti, it was 2003 April tunajiandaa na NECTA

Aliemchukulia pass ni ayubu mgube sio juma bundala mkuu umenikumbusha huyu siriri mtoto wa kimburu...na huyu mashaka alikua ana hela sana lakini mshamba tu.
 
Nakumbuka nilimtongoza mtawa mmoja alikua anaitwa telesia alikua ni mzuri sana mweupeeee basi yule sister hakukataa wala kukubali ila tukawa tunaenda sawa tu na story nikimiss chakula ananipa kimemo tu naenda duka la masister kuchukua mabanzi basi niliamini ipo siku atanipa mzigo akawa ananipiga kalenda balaa ila sikufa moyo na ule ushiriakiano anaonipa niliamini nitagonga ngozi mpaka masela walinipa moyo kama angekua hataki basi taarifa za kumsumbua kwangu angepeleka kwa mkangwa(headmaster) lakini anavyokaa kimya ni dalili za mafanikio kwangu...mpaka siku namaliza form six akaniambia tutaonana town akanipe mzigo kumbe fix tu sikumuona tena hadi leo....daaah kumbe alikua anajua ni nini anafanya yule dada!!
 
Aliemchukulia pass ni ayubu mgube sio juma bundala mkuu umenikumbusha huyu siriri mtoto wa kimburu...na huyu mashaka alikua ana hela sana lakini mshamba tu.

Hahaha, Ayubu Mgube aliulizwa jina akasema anaitwa Juma Bundala, tukikuwa wote mandela, hahaha,

Una undugu na Martini Chambo?
 
Tosa maganstar.
Representing mandela anex aka sansiro, the man him self man gota aka gota mbishi kwa dwasi ya wahuni hapa aka zoo king pcb 4 2010- 12 ,jombiii the history maker,the game changer,unforgetable gangstar,iligo king, the best iligo konekta,mshangiliaji wa mwaka,To wa mabanzi,pola hater,the top layer eater,sifongo hater,the most recognised guy in zoo of all the time,the most loveble guy in ipamba of all the time, the most lazy scout of all the time,nyari eater,the best vocha seller of all the time,the VIP in kininga or the remont clontroler .the one ambaye hajawai kutoboa ,mzee wa magepu,
 
Duh nimekukubali!!
 
Humu kuna baba zangu, shikamooni. Mtu kapiga Tosa 1988 wakati mi nazaliwa du!!
Haya bwana, mi nilikuwepo pale Ujamaa 14 kule juu jirani na ule mparachichi. Baadaye nilihamia Old Mandela namba 99 na 100. Tulikua vyumba vyote tunavimiliki viwili tunavimiliki. Kulala we unacheki tu kitanda kilichowazi unadozi hakukua na mtu mwenye kitanda chake.
Kipindi hicho jengo linashake upande mmoja na ilikua marufuku kwenda upande ule mwingine.
Nakumbuka mabanz, mama mingoi, mpishi Malata. Head alikua Charwe (RIP). Mkurya mmoja hivi asiyeogopa kitu wala mtu.
Safar za zoo, msiwasi, idete kwenye mapera(atom), miwa ya msiwasi.
Kutembea kwa miguu from skuli mpaka Junction usiku. Gari likija mbele yetu tunaingia vichakani, likipita tunatoka safari inaendelea. Tulikua tunaogopa kukutana na gari ya Charwe coz hujui gari gani inakuja mbele yenu.
After all, nakumbuka vingi sana. Illegal connections.....daaah so long
 
Kiningani
 
Attachments

  • 1435049212740.jpg
    1435049212740.jpg
    43.8 KB · Views: 116
Long time wakuuu mmenikumbusha mbali.... illegal connection afu.. unachemsha chai ... kunywa kahawa sana ujamaaaa...
 
Kwa wale 2liosoma miaka ya 2006/08 tulikuwa na bahati mbaya yaan ndan ya miaka minne wenze2 wanne walitutoka,sababu ni magonjwa km kuhara dam na kipindupindu.Niliumia sana mwenze2 m1 2lishiriki nae mahafali ya ku2agwa alikuwa 4m6 mwenzetu,then baada ya cku km mbili hv akafariki.Sitosahau pia 2lipofanya maandamano ya kumtoa mwenze2 aliyekamatwa ki2o cha police Ipamba,katika hali ambayo hatukutarajia 2livamiwa na wanakijiji waliokuwa na silaha km mishale,mapanga,rungu na kupelekea mwenzetu m1 kufarik na wengine kujeruhiwa.R.I.P kwa wote waliofariki,tunamshukuru mungu tuliotoka salama

Aliyekamatwa alikua anaitwa PAP 2 somebody officially Yusuph. Jamaa aliekufa alikua mchaga wa moshi alikua akiishi opposite na number 15 ujamaa kule juu kabisa. Ulikua Ijumaa na O'level ndio siku waliyofunga shule Mwezi May kwa likizo yao ya muhula wa kwanza na aliekufa alikua mgeni coz ndio kwanza alikua karipoti fom 5
 
Tosa maganstar.
Representing mandela anex aka sansiro, the man him self man gota aka gota mbishi kwa dwasi ya wahuni hapa aka zoo king pcb 4 2010- 12 ,jombiii the history maker,the game changer,unforgetable gangstar,iligo king, the best iligo konekta,mshangiliaji wa mwaka,To wa mabanzi,pola hater,the top layer eater,sifongo hater,the most recognised guy in zoo of all the time,the most loveble guy in ipamba of all the time, the most lazy scout of all the time,nyari eater,the best vocha seller of all the time,the VIP in kininga or the remont clontroler .the one ambaye hajawai kutoboa ,mzee wa magepu,

gota mafia yaan we jamaa navituko vyako nakukumbuka sana aisee .hsa ile scene ya shulla
 
Cheki down kati hapo karibu na roundabout
 
Attachments

  • 1437772867756.jpg
    1437772867756.jpg
    27 KB · Views: 144
sahivi tosa imekua km shule ya seminary nao wana siku za kutembelewa kama ilivyokuaga zoo!
 
Jamani Dudu (R.I.P) siwezi kumsahau na naomba Mungu amkaribishe usoni mwake. Kiboko yao kwa hesabu Mwl. Daffa sasa hivi ni Afisa Elimu Dodoma najua hawajakosea. Chitinde sijui yuko wapi. Namkumbuka Mwl. Theresia (Russian woman) Sylivernoviscky and Shabunin. Jamani Kemia (Organic na Phyisical ) tulimaliza sylabas tukiwa FV. Yahani wee acha tu.
Kimsingi Tosa team hiyo ya walimu nilowataja hapo juu ni msingi wa mafanikio yangu LAZIMA NIKIRI.
 
Dudu ametutoka! Daah nakumbuka alichotufanya tulipogoma kutokana na chakula kibovu.
 
Back
Top Bottom