William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.
Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval hizi za wenzetu.
Naomba wasoma vitabu mje mkoment funzo moja linaloishi katika maisha na ulilolipata toka kwenye kitabu husika au kisa Cha kusisimua
Mama mgonjwa fika haraka hospitali wodi ya mwaisela.Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.
Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval hizi za wenzetu.
Naomba wasoma vitabu mje mkoment funzo moja linaloishi katika maisha na ulilolipata toka kwenye kitabu husika au kisa Cha kusisimua
Anasa hunasa nani alitunga hii riwayaPesa zako zinanuka hii riyawa ilikuwa balaa. Kina Kandili [emoji23]
Ndiyo haya haya tunaona leo
Wafanya biashara wanatunza bidhaa ili ziwe adimu wapandishe bei. Viongozi wanaibia taifa kuna kila aina ya wahujumu uchumi
Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.
Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval hizi za wenzetu.
Naomba wasoma vitabu mje mkoment funzo moja linaloishi katika maisha na ulilolipata toka kwenye kitabu husika au kisa Cha kusisimua
Mkosoaji mzuri. Nilijua tu haukosekani hukuRiwaya zimekujenga ila zikakuacha hujui kuandika.! FUTUHIIII…….
Na Sasa Magharibi na mashariki wanatugawa aKikosi cha kisasi:
Uzalendo wa wana Afrika. Hii inaonyesha jinsi njia ya uhuru wa Afrika iliyokuwa ngumu na mwisho imeishia kupata uhuru wa bendera mpaka leo viongozi wengi wa Afrika ni vibaraka wa nchi za magharibi.
HadidhiMkosoaji mzuri. Nilijua tu haukosekani huku
UchuWilly Gamba unamkuta katika:
1. Kikosi cha Kisasi
2. Kikomo
3. Njama
4. Hujuma
Vitabu hivi vilitujengea ujasiri na ukakamavu zama zile!
Hivi vitabu kiongozi navipata wapiWilly Gamba unamkuta katika:
1. Kikosi cha Kisasi
2. Kikomo
3. Njama
4. Hujuma
Vitabu hivi vilitujengea ujasiri na ukakamavu zama zile!
Dah hii kauli ilinifurahisha sanaMama mgonjwa fika haraka hospitali wodi ya mwaisela.
Hahaha, riwaya tamu sana hiyo. Hapo hamaa alikiwa na mtoto mkali sana kumbe naye shushuDah hii kauli ilinifurahisha sana