Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.

Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval hizi za wenzetu.

Naomba wasoma vitabu mje mkoment funzo moja linaloishi katika maisha na ulilolipata toka kwenye kitabu husika au kisa Cha kusisimua
 
Pesa zako zinanuka hii riyawa ilikuwa balaa. Kina Kandili [emoji23]

Ndiyo haya haya tunaona leo

Wafanya biashara wanatunza bidhaa ili ziwe adimu wapandishe bei. Viongozi wanaibia taifa kuna kila aina ya wahujumu uchumi
 
Mama mgonjwa fika haraka hospitali wodi ya mwaisela.
 
Pesa zako zinanuka hii riyawa ilikuwa balaa. Kina Kandili [emoji23]

Ndiyo haya haya tunaona leo

Wafanya biashara wanatunza bidhaa ili ziwe adimu wapandishe bei. Viongozi wanaibia taifa kuna kila aina ya wahujumu uchumi
Anasa hunasa nani alitunga hii riwaya
 
Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.

Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval hizi za wenzetu.

Naomba wasoma vitabu mje mkoment funzo moja linaloishi katika maisha na ulilolipata toka kwenye kitabu husika au kisa Cha kusisimua

Riwaya zimekujenga ila zikakuacha hujui kuandika.! FUTUHIIII…….
 
Kikosi cha kisasi:

Uzalendo wa wana Afrika. Hii inaonyesha jinsi njia ya uhuru wa Afrika iliyokuwa ngumu na mwisho imeishia kupata uhuru wa bendera mpaka leo viongozi wengi wa Afrika ni vibaraka wa nchi za magharibi.
 
Na Sasa Magharibi na mashariki wanatugawa a
 
Hivi kulikuwa na mtunzi wa riwaya anaitwa Ben Ntobo? Au ulimaanisha Ben Mtobwa?
 
Willy Gamba unamkuta katika:

1. Kikosi cha Kisasi

2. Kikomo

3. Njama

4. Hujuma

Vitabu hivi vilitujengea ujasiri na ukakamavu zama zile!
 
Zamani watu walijua sana kuandika. Nafikiri sababu pia walikuwa wanasoma sana vitabu. Hilo lilifanya wawe manguli. Unasoma maongezi ya wahusika we mwenyewe unatabasamu. Lakini pia nahisi vitabu vya Musiba vilikuwa ni vya propaganda.

Kitabu kama Mzingile(Maze) kinafikirisha sana.
 
DAIMA NITAHESHIMU POLISI

hii riwaya bhana kitabu kikubwa km biblia ila niliimaliza baada ya siku5.

Mafunzo yake bhana kwa kweli sikumbuki.
 
Nilisoma riwaya nyingi sana na bado ninasoma nyingi
Ila kuna ile HIBA YA WIVU mwandishi aliupiga mwingi[emoji95][emoji95][emoji94][emoji94]
 
Back
Top Bottom