William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.
Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval hizi za wenzetu.
Naomba wasoma vitabu mje mkoment funzo moja linaloishi katika maisha na ulilolipata toka kwenye kitabu husika au kisa Cha kusisimua