Tuliotembea mikoa mingi tujuane

Tuliotembea mikoa mingi tujuane

Nashukuru nimetembelea mikoa mingi isipokuwa Rukwa pekee Na katika hiyo niliyotembelea mikoa nane ni mwenyeji kiasi hata nikiwa sina pesa huduma zoote nitapata bila ttzo
 
Mikoa nimefika.

1.DSM(nilipozaliwa na ninapoishi mpaka sasa)
2.Pwani(mkuranga,kibiti,kibaha,kisarawe,kibiti,ikwiriri,muhoro).
3.Lindi ,(Lind mjini pekee)
4.Mtwara (Mtwara mjini,masasi)
5.Ruvuma (Madaba,Songea mjini,Peramiho ,tunduru na Mbinga)
6.Njombe (makete,Njombe mjini,makambako,kifanya).
7.Mbeya (uyole,nzovwe,Sae,igawilo).
8.Iringa (Iringa mjini,mafinga,Nyololo)
9.Dodoma(dodoma mjini)
10 Morogoro (kilosa,moro town).
11.Songwe(Mlowo na Tunduma)
12.Rukwa(sumbawanga mjini).
13.Tanga (Tanga mjini).

Mikoa ambay bado
1.Mwanza
2.Arusha
3.Kilimanjaro
4.Manyara
5.Geita
6.Shinyanga
7.Mara
8.Kigoma
9.Bukoba
10.Tabora
11.Katavi

NB:hizo sehemu nimefika kabisa sio kupita na basi
 
Ngoja nione mimi nimefika mingapi;
Mwanza,
Mara,
Tabora,
Manyara,
Arusha,
Kilimanjaro,
Pwani,
Dar es salaam,
Iringa,
Mbeya,
Dodoma,
Sio haba ila ngoja nijipange kufika mikoa mingine.
Na mimi nimejitahidi kidogo...
Morogoro
Dar es salaam
Pwani
Dodoma
Tanga
KIlimanjaro
Arusha
Manyara
Singida
Kahama
Bukoba
Lindi
Mtwara
Iringa
Mbeya
Zanzibar
 
Nashukuru Mungu nimetembea mikoa yote ya nchi hii na asilimia kubwa ya makao makuu ya wilaya zake, zanzibar nimeishia unguja, pemba ndio bado, nilijifunza mambo mengi lakini wilaya zifuatazo vijijini kwao wamejenga majumba ya maana , mbinga, karagwe, muleba, moshi, mikoa kama kigoma, nwanza, singida, lindi, mtwara, singida, tabora, morogoro, bado vijijini hakuna majengo ya kueleweka
 
Wilaya ambazo kuna biashara niliona ni ifakara, kasulu, kahama, momba (tunduma) , manyoni, igunga, mbinga, masasi, karagwe, geita( katoro) , mpanda, makambako, njombe, mafinga,
 
Dar ,Pwani, Arusha, shinyanga,rukwa ,katavi na mbeya ila soon Kuna biashara nataka nianze inahusika na kudhurula hope nitafika kwengine
 
Wilaya ambazo kuna biashara niliona ni ifakara, kasulu, kahama, momba (tunduma) , manyoni, igunga, mbinga, masasi, karagwe, geita( katoro) , mpanda, makambako, njombe, mafinga,
upo sahihi
ongeza tarime hapo
 
kuimaliza Tz yote nimebakisha mikoa yote ya Nyanda za juu kusini na Zanzibar,lakini huku Nyanda za juu taenda huu mwaka kuna mali inapiga simu nyingi acha niende nikampasulie huko huko kwao Nyanda za juu kusini.
 
kuimaliza Tz yote nimebakisha mikoa yote ya Nyanda za juu kusini na Zanzibar,lakini huku Nyanda za juu taenda huu mwaka kuna mali inapiga simu nyingi acha niende nikampasulie huko huko kwao Nyanda za juu kusini.
pambana umalize yote mkuu
 
Zanzibar ndio bado..ila mikoa ya bara ni kama Marcopolo tu..mkoa wa mwisho ulikua Kigoma..kule kakonko..aisee kule ni Burundi.
 
Back
Top Bottom