Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nimejitahidi kidogo...Ngoja nione mimi nimefika mingapi;
Mwanza,
Mara,
Tabora,
Manyara,
Arusha,
Kilimanjaro,
Pwani,
Dar es salaam,
Iringa,
Mbeya,
Dodoma,
Sio haba ila ngoja nijipange kufika mikoa mingine.
Itanibidi aisee, nipo nyuma sana huu mwaka naongeza mikoa miwili kabla haujaisha.Duh mkuu, hebu jitahidi kidogo angalau ifike 10.
Hongera sana upo vizuriNa mimi nimejitahidi kidogo...
Morogoro
Dar es salaam
Pwani
Dodoma
Tanga
KIlimanjaro
Arusha
Manyara
Singida
Kahama
Bukoba
Lindi
Mtwara
Iringa
Mbeya
Zanzibar
Mimi bado Pemba, Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya tu.Mimi bado Lindi, Mtwara, Rukwa na Kagera. Soon nitamalizana nayo
Tupe uzoefu wako
upo sahihiWilaya ambazo kuna biashara niliona ni ifakara, kasulu, kahama, momba (tunduma) , manyoni, igunga, mbinga, masasi, karagwe, geita( katoro) , mpanda, makambako, njombe, mafinga,
mi zanzibar tayari, hivo na pemba inajifuta humohumoMimi bado Pemba, Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya tu.
endelea kuzurura mkuuNimetembea mikoa mitano tu kwakweli bado natakiwa kuzurura sana
mkuu kigoma na mwanza pana utofauti wa hali ya hewa na utamaduniMadhari zinatofautiana lakini baina ya mikoa..!
pambana umalize yote mkuukuimaliza Tz yote nimebakisha mikoa yote ya Nyanda za juu kusini na Zanzibar,lakini huku Nyanda za juu taenda huu mwaka kuna mali inapiga simu nyingi acha niende nikampasulie huko huko kwao Nyanda za juu kusini.
OkayyyyMikoa Sijafika ni
Kigoma
Ruvuma
Manyara (hapa nimepita tu)