Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🤣🤣🤣Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa
Kama mimi tu sijatembea wilaya kadhaa tu, nyingi ni hizi mpya, ila Tanzania yote kiujumla nimetembea.Nashukuru Mungu nimetembea mikoa yote ya nchi hii na asilimia kubwa ya makao makuu ya wilaya zake, zanzibar nimeishia unguja, pemba ndio bado, nilijifunza mambo mengi lakini wilaya zifuatazo vijijini kwao wamejenga majumba ya maana , mbinga, karagwe, muleba, moshi, mikoa kama kigoma, nwanza, singida, lindi, mtwara, singida, tabora, morogoro, bado pervijijini hakuna majengo ya kueleweka
Arusha ungefika na Kilimanjaro mkuu.... Ukapande na mlima.Zaidi ya Mbeya, Songwe, Njombe, Dodoma, Iringa, Arusha na Dar es Salaam hakuna mkoa nimewahi enda
lakini wilaya zifuatazo vijijini kwao wamejenga majumba ya maana moshi,
Mambo tajir!.Okayyyy
Mie tena🤣🤣🤣Mambo tajir!.
MKUU hii mikoa ndo bado au ndo tayariSumbawanga
Songwe
Mbeya
Iringa
Dodoma
Manyara
Tabora
Arusha
Singida
Da'salam
Pwani
Kilimanjaro home
pole mkuuMie tena🤣🤣🤣
Boss vby hivyo
Sio poa sn mwanangu,nimezika mama mzazi ndo tunapamnana na trauma tusahau
Asante sanapole mkuu
Doooooohhhhhh!!!! Aisee pole sana Tayana-wog . Am so sorry my friend.. kwakwel i pray for your healings, Mungu awaponyeMie tena🤣🤣🤣
Boss vby hivyo
Sio poa sn mwanangu,nimezika mama mzazi ndo tunapamnana na trauma tusahau
Asante sn rfk 🙏🙏Doooooohhhhhh!!!! Aisee pole sana Tayana-wog . Am so sorry my friend.. kwakwel i pray for your healings, Mungu awaponye
Unataka kusema hujawahi safiri kabisaa?Daah kuna mimi niliyezaliwa Mbeya na sijawahi kutoka nje ya huu mkoa[emoji17]
Kaongo hakaUnataka kusema hujawahi safiri kabisaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiKaongo haka
Na bado huwa hamtaki kujiita watanzaniaimeipangilia mikoa kutokana na safari yangu ya masomo ilipoanzia mpk namaliza
Nb:Ni mkaazi wa Zanzibar