Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuuKuna postgraduate diploma mara nyingi huwa ni mwaka mmoja kwa UDSM ipo kama Postgraduate Diploma in Entrepreneurship and Enterprises Devt, au soma CPA,ACCA ,CPB au law school au ile ya Chuo cha Dplomasia Kurasini, au ile Procurement
Unafanya postgraduate then unaomba masters. Postgraduate ni mwaka mmoja tuNimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
Kwa udsm ni 2.6 Tena kwa waliosoma hapo waliosoma nje ya udsm huwa GPA kubwa zaidi. Hapo labda vyuo vingine
Kigezo cha masters kinaanzia 2.7 angalia upya nahisi umechanganyaKwa udsm ni 2.6 Tena kwa waliosoma hapo waliosoma nje ya udsm huwa GPA kubwa zaidi. Hapo labda vyuo vingine
Nimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma Masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
Labda prospectus zimebadili wakati na join was 2.6 wa udsm like year's ago, currently sijafatiliaKigezo cha masters kinaanzia 2.7 angalia upya nahisi umechanganya
2.7 ndipo inapoanzia lower second class mpaka 3.4
Kwa udsm ni 2.6 Tena kwa waliosoma hapo waliosoma nje ya udsm huwa GPA kubwa zaidi. Hapo labda vyuo vingine
Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is differenceCUT POINT ZA MASTERS NI 2.7 AND ABOVE AND THIS IS ACCORDING TO TCU NOT UDSM EITHER
Mkuu siku hizi wameshusha kiwango cha chini cha GPA kuweza kusoma masters UDSM?Kwa udsm ni 2.6 Tena kwa waliosoma hapo waliosoma nje ya udsm huwa GPA kubwa zaidi. Hapo labda vyuo vingine
HawajashushaMkuu siku hizi wameshusha kiwango cha chini cha GPA kuweza kusoma masters UDSM?
Mimi najuwa ni GPA ya 2.7 na kuendeleaa, pungufu ya hapo inabidi usome PGD kwanza.