Ukijoin master's pale ukiwa na GPA ya 3.8 unaanza ka tutorial assistance Sasa hao wengine hata assignment za kawaida huwa zinawashinda wengine kupata supplementary kabisa, na wengi ufaulu huwa below so hawachukuliwi next step maana GPA haijafika na sio kuonewa huwa fair.
Pia chuoni huwa Kuna ukabila flani na kubebana GPA kwa watu wanaowataka hata kufaulishwa Kuna department unakuta wahaya tu, au Kanda flani basi watafaulisha watu wachache kiupendeleo ili wabaki.
Nadhani huyo wa MIT wivu tu uliwasumbua wakaamua kumchinjia baharini, in short udsm Kuna Mambo yawapasa kubadilika sio kukumbatia conservative tu siku zote.