Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Bado una ulimbukeni Wa vyuo, unaweza ukamchukua mtu wa udsm na DIT wa udsm akachemka. Japokuwa kwa mawazo yako mgando utaamini DIT ni chuo cha kata.
Sio mindset ya dharau ni ukweli mtupu wallah, mbona hata shule za kata zipo, ni sawa ulinganishe MIT, Oxford na vyuo vya uchochoroni huko, duniani vitu havijawahi kuwa sawa kamwe.
 
Bado una ulimbukeni Wa vyuo, unaweza ukamchukua mtu wa udsm na DIT wa udsm akachemka. Japokuwa kwa mawazo yako mgando utaamini DIT ni chuo cha kata.
Nasema unaweza kulinganisha MIT, Oxford, Harvard na vyuo vya uchochoroni, ujue tu duniani vitu haviko sawa na Wala sio ulimbukeni, ndio maana wengine warefu, weusi, weupe huwezi sema eti ukitofautisha ni mawazo mgando ingawa wote ni watu.
 
Kuna vigezo vya TCU (kwa ajili ya vyuo vyote nchini) na vya UDSM

Lakini vya UDSM haviwezi kukinzana na vya TCU, UDSM hawawezi kuweka standards za chini lakini wanaweka standards kubwa zaidi
TCU wameweka uwe tutorial assistance uwe na 3.5 Ila pale wameweka 3.8 ndio hapo sasa
 
Nimekupata
Nasema unaweza kulinganisha MIT, Oxford, Harvard na vyuo vya uchochoroni, ujue tu duniani vitu haviko sawa na Wala sio ulimbukeni, ndio maana wengine warefu, weusi, weupe huwezi sema eti ukitofautisha ni mawazo mgando ingawa wote ni watu.
 
Mara nyingi watu wanapata undergraduate GPA kubwa kuliko Masters
Wengi hucheza mkuu undergraduate ukifika postgraduate wengi hufaulu vizuri kuliko nyuma I mean waliounga shule tofauti na waliotoka makazini nawaofata elimu wapande cheo
 
Mimi niliwahi kukamatwa somo la option hahaha yaliyonikuta sitayasahau...
Hahaaa udsm kukamatwa kawaida tu hasa Kuna optional za lazima kule huwa Kuna wanoko usipokamatwa utaondoka na karai lako Safi kabisa
 
Ni kweli maana kuna mmoja nilishangaa amepataje nafasi ya kufundisha wakati ufaulu wake ni wa kawaida
Undugulization upo mwingi Sana hasa walimu ni ka miungu watu
 
Ndo hiyo ya udsm. Assignment page 3? Aisee sijawahi kuona alaf tena group assignment
Inashangaza sana katika kusoma kwangu nimefanya group assignments kwenye seminar tu na zenyewe siyo hizo za page 3 anazosema Cariha.

Labda inategemea na chuo pamoja na course aliyosoma mwenzetu.
 
Kama sababu inaweza kua hiyo sidhani kama ni sababu toshelezi sana. Vp wameshawapima pia output zao kama wanatoa matokeo chanya sana baada ya kumaliza?
Nadhani kuna tatizo hapo UDSM make siyo masomo tu bali adi kazi naona kujuana kumekua kwingi sana. Mimi nadhani kwasababu ya kuacha watu waliosoma pamoja kurundikwa sehemu moja kama wahadhiri hapo UD then wanakosa challange sana.

Tokea wamnyime jamaa yangu aliyesoma degree ya kwanza Michigan..Masters Newcastle na PhD Michigan bila ya kumwita ata kwenye usaili kisa wanamtaka ndugu wa mhadhiri wa hapo.

Hiyo naona chai.. university of michigan ada yake ya undergraduate ni zaidi ya milioni 100 kwa mwaka... na degree za miaka michache michigan ni miaka minne. Sasa mtu alipe ada yote hiyo kisha aje kuomba kazi udsm... hapo sijaweka ada zake za masters na hiyo phd tena ya Michigan university
 
Inashangaza sana katika kusoma kwangu nimefanya group assignments kwenye seminar tu na zenyewe siyo hizo za page 3 anazosema Cariha.

Labda inategemea na chuo pamoja na course aliyosoma mwenzetu.
Sio inategemea na chuo hivo vitu vipo Sana kwa course almost zote na wengine kutega wanatoa hela ya ku print kazi, Tena huko education ndo usiseme hyo kitu ipo Sana.
 
Hiyo naona chai.. university of michigana ada yake ya undergraduate ni zaidi ya milioni 100 kwa mwaka... na degree za miaka michache michigan ni miaka minne. Sasa mtu alipe ada yote hiyo kisha aje kuomba kazi udsm... hapo sijaweka ada zake za masters na hiyo phd tena ya Michigan university
Kazi kweli labda alipata scholarship na ka alipata asingerudi kuhangaika na udsm
 
Kazi kweli labda alipata scholarship na ka alipata asingerudi kuhangaika na udsm

University of michigan ni state university.. haitoi scholarships kwa international student kabisa maana hawaruhusiwi... huwa wanatoa athletic scholarships ambayo chuo kinapokea ada kutoka bodi ya michezo ya vyuo vikuu vya marekani inaitwa NCAA.. kama unakumbuka hasheem Thabeet alisoma university of connecticut kwa kulipiwa ada na NCAA .. state university haziruhusiwi kutoa scholarships kwa international students kabisa mpaka kuwe na sababu ya kimichezo.. awe mchezaji under NCAA athletic scholarship...

Huyu jamaa analeta chai.. mwambie aweke ushahidi jina la huyo jamaa tum google.. maana marekani hakuna siri.. kila kitu wanaweka wazi

Hiyo university ni kubwa sana duniani, level za top 10 university in the world haizidiani sana na kina havard, oxford, yale, uc Berkeley. halafu usome huko mpaka phd uje kuomba kazi udsm.. halafu na hao hao udsm ikunyime kazi
 
Yeah. Upo sawa
Wengi hucheza mkuu undergraduate ukifika postgraduate wengi hufaulu vizuri kuliko nyuma I mean waliounga shule tofauti na waliotoka makazini nawaofata elimu wapande cheo
 
University of michigan ni state university.. haitoi scholarships kwa international student kabisa maana hawaruhusiwi... huwa wanatoa athletic scholarships ambayo chuo kinapokea ada kutoka bodi ya michezo ya vyuo vikuu vya marekani inaitwa NCAA.. kama unakumbuka hasheem Thabeet alisoma university of connecticut kwa kulipiwa ada na NCAA .. state university haziruhusiwi kutoa scholarships kwa international students kabisa mpaka kuwe na sababu ya kimichezo.. awe mchezaji under NCAA athletic scholarship...

Huyu jamaa analeta chai.. mwambie aweke ushahidi jina la huyo jamaa tum google.. maana marekani hakuna siri.. kila kitu wanaweka wazi

Hiyo university ni kubwa sana duniani, level za top 10 university in the world haizidiani sana na kina havard, oxford, yale, uc Berkeley. halafu usome huko mpaka phd uje kuomba kazi udsm.. halafu na hao hao udsm ikunyime kazi
Kumbe sikujui kuhusu hicho chuo na condition's zake Mimi mwenyewe siwezi vvyuo vikubwa nirudi kutafta kazi bongo hayo yanakuwa matumizi mabaya ya Rasilimali, maana kusoma tu hicho chuo huwezi teseka kabisa kuhusu fursa kwanza ubongo wako unajua mengi na high exposure hata ukirudi bongo nikufsnya tu project zako.
 
Back
Top Bottom