SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 254
- 497
Hii mindset ya kuona UDSM ndo chuo Bora vingine unaviita vyuo vya kata ni ushamba na uzwazwa, watu wamepiga vyuo vingine na wapo competent tuu. Badilika unakua usishikilie ubaguzi wa kijinga na ushamba wa kitaaluma.Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference