Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Vyuo vya uchochoroni huko ndo vyuo vya kata, ulipo sema Sua tu kumbe na wewe kule kule kwenye comparison,
Bwana wee kwa Tanzania udsm inaongoza , innovation ipo kila sehemu ni matter ya ku capitalize hyo innovation

FROM CERTIFICATE TO PhD mmeongeza nn ktk elimu ya tz au mmefanya mchango gan kwenye jamii tofaut ya kuongeza idadi ya people ambao jobless na walalamikaji wanaoilaumu serikali na kuongeza dependent ratio et udsm swali ni je kipindi cha corona udsm mna ma professor kibao kwenye field kama biochemistry ,chemistry ,molecular biology and biotechnology , microbiology and other wote kipindi cha vorona nao walikua kwa lock-down nawote walikua wanapiga nyungu hahahaah elimu ganii colonial education,
 
Umemjibu vizr huyu mzungu wa Kolomijee
Hadi natamani niwe karibu yakoo nikuangaliee tuuu ulivyo mzuri anzia kichwani hadi kila mahalii
Keep it up[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23]eti uniangalie loh
 
FROM CERTIFICATE TO PhD mmeongeza nn ktk elimu ya tz au mmefanya mchango gan kwenye jamii tofaut ya kuongeza idadi ya people ambao jobless na walalamikaji wanaoilaumu serikali na kuongeza dependent ratio et udsm swali ni je kipindi cha corona udsm mna ma professor kibao kwenye field kama biochemistry ,chemistry ,molecular biology and biotechnology , microbiology and other wote kipindi cha vorona nao walikua kwa lock-down nawote walikua wanapiga nyungu hahahaah elimu ganii colonial education,
Wasomi wameongeza Mambo mengi tu kwenye taifa labda wewe huoni hizo jitihada za kila sector.
Yani kuwa prof, Dr ndo usichukue tahadhari mbona itakuwa matumizi sio sahihi hayo ya akili. Being prof sio tija ya kuji expose sehemu hatarishi
 
Vyuo vya uchochoroni huko ndo vyuo vya kata, ulipo sema Sua tu kumbe na wewe kule kule kwenye comparison,
Bwana wee kwa Tanzania udsm inaongoza , innovation ipo kila sehemu ni matter ya ku capitalize hyo innovation

ok, udsm kama chuo cha tz kama unavyo dai nitajie project 3 ambazo zime fanywa na udsm ambazo zime leta impact ktk society
 
u
Wasomi wameongeza Mambo mengi tu kwenye taifa labda wewe huoni hizo jitihada za kila sector.
Yani kuwa prof, Dr ndo usichukue tahadhari mbona itakuwa matumizi sio sahihi hayo ya akili. Being prof sio tija ya kuji expose sehemu hatarishi

unavyo sema wasomi wameongeza mengi ktk taifa je vyuo ivyo vya kata avitaongeza ?
 
ok, udsm kama chuo cha tz kama unavyo dai nitajie project 3 ambazo zime fanywa na udsm ambazo zime leta impact ktk society
Project ziko nyingi Sana kuanzia kutunga sera na za kimaendeleo, ni wewe tu ku Google
 
Hii mindset ya kuona UDSM ndo chuo Bora vingine unaviita vyuo vya kata ni ushamba na uzwazwa, watu wamepiga vyuo vingine na wapo competent tuu. Badilika unakua usishikilie ubaguzi wa kijinga na ushamba wa kitaaluma.
Punguza hasira. Kunywa maji halafu vuta pumzi ya kutosha.
 
paher
Project ziko nyingi Sana kuanzia kutunga sera na za kimaendeleo, ni wewe tu ku Google

perhaps it seems you're less than average according to you're comments you need to improve, and kama ni research bas we ni sample unae wakilisha udsm hahahahahahah, fake product, from fake .........ty
 
Ukijoin master's pale ukiwa na GPA ya 3.8 unaanza ka tutorial assistance Sasa hao wengine hata assignment za kawaida huwa zinawashinda wengine kupata supplementary kabisa, na wengi ufaulu huwa below so hawachukuliwi next step maana GPA haijafika na sio kuonewa huwa fair.

Pia chuoni huwa Kuna ukabila flani na kubebana GPA kwa watu wanaowataka hata kufaulishwa Kuna department unakuta wahaya tu, au Kanda flani basi watafaulisha watu wachache kiupendeleo ili wabaki.

Nadhani huyo wa MIT wivu tu uliwasumbua wakaamua kumchinjia baharini, in short udsm Kuna Mambo yawapasa kubadilika sio kukumbatia conservative tu siku zote.
Wahaya bado wameidhibiti UDSM ?
 
Honors inaanzia upper second pia gpa yako shart iwe inapanda au kubakia the same isishuke tu ata mwaka mmoja.

Mfano first year ukapata 3.4 second year 3.4 third year 3.5 na fourth year 4.0 na overall ukapiga 3.6 hapo utapewa degree with honors hope umeelewa mkuu na mwisho usiwe umewahi kupata sup ata moja toka umeanza
Sidhani kama ni hivyo.

Mimi nilianza na 3.5, ikaja 3.4, mwisho ikawa 3.3. Ila nina HONOURS
 
Back
Top Bottom