Huu utoto mwingine, kutoboa/kuchomoka kimaisha hakutegemeani na akili kubwa wala ujanja ujanja mzee,rekebisha ufahamu wako. Nilitaka nisikujibu.Ukiwa na akili kubwa UDSM pana chances kubwa za kuchomoka kimaisha, kinyume na hapo lazima utapachukia.
Pili, ulitakiwa ujue kwanini naichukia UDSM, miongoni mwa vitu vilivyo nifanya niichukie ni mfumo na kile tulichokuwa tunasomeshwa.