Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Mbona hyo GPA ndogo kwa chuo ka udsm huwezi kusoma, ka undergraduate ulipata hyo master's unaweza ku Disco maana mziki wake si wakitoto.
sio kweli kitu ni determination,huwezi jua causes za performance yake huko nyuma,tumtie moyo
 
Wadogo zangu,nendeni mtafute hela kitaa,sio mwendelee kujificha huko vyuoni,na manadharia yenu,degree,post graduate,masters,PhD,mpaka lini?
Piga pesa kwanza,then masters inakuwa tamu kuitafuta,unaenda kusoma masters,hata ka vitz huna,unapuyanga tu,mwishowe ukipata uteuzi,kama mwalimu wenu,kabudi,unahisi umefika peponi?umetolewa "shimoni"
 
FROM CERTIFICATE TO PhD mmeongeza nn ktk elimu ya tz au mmefanya mchango gan kwenye jamii tofaut ya kuongeza idadi ya people ambao jobless na walalamikaji wanaoilaumu serikali na kuongeza dependent ratio et udsm swali ni je kipindi cha corona udsm mna ma professor kibao kwenye field kama biochemistry ,chemistry ,molecular biology and biotechnology , microbiology and other wote kipindi cha vorona nao walikua kwa lock-down nawote walikua wanapiga nyungu hahahaah elimu ganii colonial education,
nimecheka sana, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, heri wakati huu wa COVID 19 wasomi mbalimbali wakiwemo hao wa UDSM niliwaona wakitumia elimu zao walau kwa kidogo kujaribu kutatua tatizo; mfano udsm walitengeneza sanitazer, ndoo za kisasa za kutakasa mikono, etc NIMR walikuja na kinywaji cha kupunguza madhara ya covid etc
 
Sidhani kama kuna kujuana, koz ukiangalia wengi pale ni wahaya, wachaga (school of business) na wanyaturu kadhaa. Mimi ni mzaramo lakini walinipa .... with Honours,
Duh, mie hata sijui maana nina 340 yangu freshi tu. Nimefia mpakani!
 
Hivi mtu anaposema elimu ya udsm ngumu anamaanisha nini? Ni masomo konki wanafundishwa au walimu wao wanaamua 2 kuwafelisha makusudi 2? Maana ukisema wanafundishwa masomo konki mbona kwenye usahili wapo kawaida sana tena sana.

Ukisema ugumu wa masomo mbona kuna wanafunzi wanafaulu sana, mfano ni yule binti aliyekua anasoma actuarial science alifumua GPA ya 4.8 why yeye? Tatzo wanafunzi wa bongo imani zao zinawaponza, mfano wale wanafunzi wanaosema hesabu ni ngumu wakati sio kweli.
 
nimecheka sana, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, heri wakati huu wa COVID 19 wasomi mbalimbali wakiwemo hao wa UDSM niliwaona wakitumia elimu zao walau kwa kidogo kujaribu kutatua tatizo; mfano udsm walitengeneza sanitazer, ndoo za kisasa za kutakasa mikono, etc NIMR walikuja na kinywaji cha kupunguza madhara ya covid etc

1. sanitizer zilkuwepo b4 corona
2. NIMR kutengeneza ichokinywaji ni baada ya madagaska kuleta sample ya dawa zao na kuwapa 4mular so kama kama walibadilisha basi ni ingredient chache sana wali add
 
MMEFANYA NN AMBACHO NITOFAUTI NA WENGINE ? jibu swalihili acha siasa na adis za kufikirika[/QUOTE]
 
1. sanitizer zilkuwepo b4 corona
2. NIMR kutengeneza ichokinywaji ni baada ya madagaska kuleta sample ya dawa zao na kuwapa 4mular so kama kama walibadilisha basi ni ingredient chache sana wali add
siku za nyuma wasomi wetu hata hicho unachokiona kidogo walikuwa hawafanyi, kazi yao ilikuwa kudai mishahara mipya na kujiona miungu watu tu, watanzania wote na siyo wasomi tu tumeanza kubadilika sasa
 
GPA wanatafuta kwa kujumlisha semista zote na kugawanya kwa 6 au kila mwaka una GPA yake na GPA wanayoangalia sana ni ya mwaka wa mwisho
Addition ,,wasikariri inagwanywa kwa 6 tu ,,naomba iwe " unagawanya kwa idadi ya semesters " maana wengine wana zaidi ya semesters 6 mfano medine
 
Mkuu siku hizi wameshusha kiwango cha chini cha GPA kuweza kusoma masters UDSM?
Mimi najuwa ni GPA ya 2.7 na kuendeleaa, pungufu ya hapo inabidi usome PGD kwanza.
Nilipitia prospectus mpya ni 2.7
 
Back
Top Bottom