Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

UDSM wameweka 3.8 lakini sio 3.4

Ndio maana nikasema wanachofanya wao ni kuweka viwango visivyikinzana na vya TCU (sio vya chini)
TCU wameweka uwe tutorial assistance uwe na 3.5 Ila pale wameweka 3.8 ndio hapo sasa
 
Kumbe sikujui kuhusu hicho chuo na condition's zake Mimi mwenyewe siwezi vvyuo vikubwa nirudi kutafta kazi bongo hayo yanakuwa matumizi mabaya ya Rasilimali, maana kusoma tu hicho chuo huwezi teseka kabisa kuhusu fursa kwanza ubongo wako unajua mengi na high exposure hata ukirudi bongo nikufsnya tu project zako.

Proffessor mkandala.. alisoma tu phd university of california Barkley, alivyorudi bongo akapewa UVC na akapewa majukumu kibao ya kitunga sera za nchi na za ccm.. kitabu cha mkapa , kitabu cha mengi vyote hivyo kaedit yeye... ile ari mpa nguvu mpya yeye.. mambo kibao kwa heshima ya university aliyo attend..

Udsm hata maproffessor wenyewe kuna majina ya vyuo wakiyasikia wanatemeka na kupeana heshima.. halafu jamaa analeta uongo wake hapa eti mtu ana degree na phd ya university of michigan amenyimwa kazi.. chenge na havard yake tu anatuibia kila siku na akienda mahakamani anatushinda...
 
Hahaaa comment yako imenifuraisha Sana umeandika ukweli mtupu kusoma vyuo vya wenzetu unajifunza mengi ingawa ni PhD hyo Ila wenzetu wanakuwa na vitu vya extra kuliko wahitimu wa hapa. Kweli Mkandala PhD yake ili musaidia maana kala mema ya nchi na kichwani alikuwa vizuri.
Huyo Chenge joka la makengeza ndo usiseme, Yuko vizuri, sema Sasa yeye uzuri wake kaliingiza taifa Chaka. But ni smart jamani.

Sasa nikamshangaa huyo Tena angekuja na mawazo chanya sehemu aliyotakiwa angeonekana juu kwa juu.
 
UDSM wameweka 3.8 lakini sio 3.4

Ndio maana nikasema wanachofanya wao ni kuweka viwango visivyikinzana na vya TCU (sio vya chini)
Lakini mwenye 3.5 hawachukui na hawashuki zaidi ya hapo
 
Hiyo naona chai.. university of michigan ada yake ya undergraduate ni zaidi ya milioni 100 kwa mwaka... na degree za miaka michache michigan ni miaka minne. Sasa mtu alipe ada yote hiyo kisha aje kuomba kazi udsm... hapo sijaweka ada zake za masters na hiyo phd tena ya Michigan university
Kwahiyo akaombe kazi wapi? alipata ufadhili kote huko. Mbona kuna watu wamesoma first degree adi PhD huko USA na wamekuja kuajiriwa hapa serikalini na wanalipwa TGS?
 
Kwahiyo akaombe kazi wapi? alipata ufadhili kote huko. Mbona kuna watu wamesoma first degree adi PhD huko USA na wamekuja kuajiriwa hapa serikalini na wanalipwa TGS?

Wewe ni muongo,,, weka wazi kwa majina Wataje.. vyuo vya usa hasa states university havitoi ufadhili bila sababu maalumu.. sababu vinaendeshwa kwa tax payers money wa hiyo state.. marekani hata ukiwa from out of state unalipia ada kubwa kuliko in state resident.. taja hao watu waliopata ufadhili marekani kisha wakaja kuajiriwa TGS,

Wachezaji wanawapa scholarships sababu college sports in USA ni multi billion dollar industry.. inaleta profit kubwa sana kwa university ndio maana zimejaa scholarships za michezo.. na vyuo vikuu vyao vina viwanja vikubwa na vya gharama kuliko uwanja wa taifa.. mfano uwanja wa timu ya football ya university of michigan ni mkubwa kuliko old traffold uwanja wa mancheter utd.

Acha uongo.. taja huyo aliesoma michigan alisoma kwa scholarship gani.. ama hao walioajiriwa TGS

Kina martin chegere waulize wakwambie ugumu wa vyuo vya marekani kupata scholarship
 
Honors inaanzia upper second pia gpa yako shart iwe inapanda au kubakia the same isishuke tu ata mwaka mmoja.

Mfano first year ukapata 3.4 second year 3.4 third year 3.5 na fourth year 4.0 na overall ukapiga 3.6 hapo utapewa degree with honors hope umeelewa mkuu na mwisho usiwe umewahi kupata sup ata moja toka umeanza
Si kweli, japo ukweli siujui.
 
Si kweli, japo ukweli siujui.
Udsm waliamua kutupa wote honors sabab ya heshima ya kusoma pale maana waliona wanafunz wao tunateseka tukiingia mtaan na watu wa vyuo vya kata ambao wana ma gpa ya kumwaga tuu wakat akil hawana za kupata gpa hzo ..elim ya udsm ni ngum mjomba...yaan ufundishwe na prof ufananishe na mtu wa chuo cha kata anaefundishwa na msela tuu mwenye degree1 tena ya kuunga unga halaf yeye apate first class ya chuo cha kata ufananishe na wa udsm.haiwezekan..ndomana waliamuaga kutoa honors kwa wote
 
Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference

What do you mean vyuo vya kata? udsm jina tuu, bora ata ungeniambia sua udsm its just name
for me best university naangalia vitu vifuatavyo
innovation and creativity je unadai umetoka udsm bado unatembeza bahasha this is ridiculous what're the meaning of education you claim to be graduate from udsm ? you've a lot of people claim to be scientist and engineers still tooth peek tunaagiza kutoka china and you still claim to be best students from best university , above all what do you think make you( udsm) to feel sospecial and see other kuwa vyuo vya kata
if you're zero creativity
zero innovation , research za kukopi na kupest dunia ya sasa atuangalii uwezo wa kukariri kwani computa zipo zinauwezo mkubwa tu wa kuifathi information. huuni ulimwengu wa kutatua changamoto kwa kutumia mawazo walio tumua mudawao vizuri apa duniani ili kuweza kutatua changamoto za sasa GPA without creativity and innovation its just like kumpiga tembo na chelewa
 
Vyuo vya uchochoroni huko ndo vyuo vya kata, ulipo sema Sua tu kumbe na wewe kule kule kwenye comparison,
Bwana wee kwa Tanzania udsm inaongoza , innovation ipo kila sehemu ni matter ya ku capitalize hyo innovation
 
Umemjibu vizr huyu mzungu wa Kolomijee
Hadi natamani niwe karibu yakoo nikuangaliee tuuu ulivyo mzuri anzia kichwani hadi kila mahalii
Keep it up❤❤❤❤❤
 
Back
Top Bottom