Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Nimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma Masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
 
Kuna postgraduate diploma mara nyingi huwa ni mwaka mmoja kwa UDSM ipo kama Postgraduate Diploma in Entrepreneurship and Enterprises Devt, au soma CPA,ACCA ,CPB au law school au ile ya Chuo cha Dplomasia Kurasini, au ile Procurement
 
Shukrani mkuu
 
Kigezo cha masters kinaanzia 2.7 angalia upya nahisi umechanganya
2.7 ndipo inapoanzia lower second class mpaka 3.4
Labda prospectus zimebadili wakati na join was 2.6 wa udsm like year's ago, currently sijafatilia
 
CUT POINT ZA MASTERS NI 2.7 AND ABOVE AND THIS IS ACCORDING TO TCU NOT UDSM EITHER
Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…