Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

...😂😂😂 ...naunga mkono hii hoja.
 
Vyuo vya kata Ni vipi?
 
Yani kwa wasio jua tu!
Mkuu, moja ya technical fault ambayo UDSM wamekuwa wakifanya ni pamoja na kujiona wao wanaweza na wako tofauti!

Halii hii imepelekea product za hapo kuwa na mawazo ya aina moja, lakini pia ndio hawa tunawaona sasa ivi wakishindwa ku perform katika nyanja mbalimbali! toka wizara, mpaka mashirika!

Hii ni kwakuwa, hawana mawazo mbadala zaidi ya kurithishana ignorance!

Huwezi ukamuacha graduate mwenye 1st class ya St John, eti ukamchukua graduate mwenye 3.6 wa UDSM, WHY??

Ndio mana sishangai kwa sasa UDOM akawa kileleni! ni swala la muda tu! na siku Serikali ikiamua kukiacha hata kidogo hicho chuo, mtashangaa wenyewe!

Naongea hii nikiwa mdau mkubwa sana, tena sana wa udsm!
 
udom yuko kileleni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…