Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Tafuta cha kufanya mtaani,
unataka kuzamia nn? wakati maji ya kina kifupi yalikushinda??
 
Ko unaona udsm ndo mwisho wa matatizo, wewe kumbe ni kenge.
 
Unapataje GPA ya 2.5 sasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huo ni ukilaza
 
Unapataje GPA ya 2.5 sasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huo ni ukilaza
Mbna kawaida Sana hyo mkuu...as long as haja disco.

Kuna wengne wanataka cheti tu,ndo utaona hzo GPA but kwnye accnt zao bank zinasoma mamillions ya pesa..
 
Hata wenye second nao ni Honour's hata lower na sijawahi fatilia vigezo
Honors huwa ni GPA kupanda kila semester sio kushuka... Kama ulianza na 2.0 ukapanda mpaka 4.5 ila isishuke... Sasa kama ulipata honour basi jaribu kuangalia hilo ktk transcript...
 
Sidhani kama ni hivyo.

Mimi nilianza na 3.5, ikaja 3.4, mwisho ikawa 3.3. Ila nina HONOURS
Watakuwa wamekuibia hao wakakupa ya maana hii...

Honours degree has various meanings in the context of different degrees and education systems. Most commonly it refers to a variant of the undergraduate bachelor's degree containing a larger volume of material or a higher standard of study, or both, rather than an "ordinary", "general" or "pass" bachelor's degree. Honours degrees are sometimes indicated by "Hons" after the degree abbreviation, with various punctuation according to local custom, e.g. "BA (Hons)", "B.A., Hons", etc.

 
Honours inapatikana kwa ambao wanapiga GPA kwa ascending order.

Graph yako isome kwa style hii: 3.5 , 3.7, 3.8, 4.0, 4.2,4.3! hapa unakula jiwe kwa heshima.

Sio: 4.5, 4.1, 4.2, 3.4, 3.1, 3.6, 3.5!
Hapa unaonekana mzinguaji! Hupewi honors.
Vyeti vingi vya UDSM wana wawekea hiyo Honors... Hata ukipata GPA ya kawaida...
 
Honors huwa ni GPA kupanda kila semester sio kushuka... Kama ulianza na 2.0 ukapanda mpaka 4.5 ila isishuke... Sasa kama ulipata honour basi jaribu kuangalia hilo ktk transcript...
Kuna mwaka ilishuka Ila nimepata hyo honors
 
Utafiti INAONYESHA kinaongoza kwa rushwa ya ngono.wanaweka mazingira magumu kufanikisha axma zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…