SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 254
- 497
Hii mindset ya kuona UDSM ndo chuo Bora vingine unaviita vyuo vya kata ni ushamba na uzwazwa, watu wamepiga vyuo vingine na wapo competent tuu. Badilika unakua usishikilie ubaguzi wa kijinga na ushamba wa kitaaluma.Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference
Hivi hii GPA ndio inaitwa gentleman?Nimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma Masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
Wailosoma ud ndio Hawa wanaogopa kwenda nje ya nchi kisa kimalkia hakipandi.Hii mindset ya kuona UDSM ndo chuo Bora vingine unaviita vyuo vya kata ni ushamba na uzwazwa, watu wamepiga vyuo vingine na wapo competent tuu. Badilika unakua usishikilie ubaguzi wa kijinga na ushamba wa kitaaluma.
Nimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma Masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
Siku hizi kila kitu wanafuata TCU.... so ukiwa na hiyo 2.7 hata kama ya chuo gani wanakuchukuaHyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference
Sio mindset ya dharau ni ukweli mtupu wallah, mbona hata shule za kata zipo, ni sawa ulinganishe MIT, Oxford na vyuo vya uchochoroni huko, duniani vitu havijawahi kuwa sawa kamwe.Hii mindset ya kuona UDSM ndo chuo Bora vingine unaviita vyuo vya kata ni ushamba na uzwazwa, watu wamepiga vyuo vingine na wapo competent tuu. Badilika unakua usishikilie ubaguzi wa kijinga na ushamba wa kitaaluma.
Mimi naongea enzi hzo ka Kuna huyo mpya no problem na hata hivo haikabadilika sanaSiku hizi kila kitu wanafuata TCU.... so ukiwa na hiyo 2.7 hata kama ya chuo gani wanakuchukua
Hua sababu gani wanasema kwa waliosoma hapo UDSM? nimeshajiuliza mara nyingi sijapata sababu. Unaweza kunidokezea wanasema hivyo kwa sababu gani?Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference
Nadhani nature ya udsm tu mwenye gpa ya tatu vyuo vingine ana first class, shule ya pale si lelemama na wanafata vigezo na zamani waliopata pata pale wengi ni waliofaulu vizuri Sasa mtu umesoma chuo huko ulipata three karibu na four eti first class, hawakuchukui kirahisiHua sababu gani wanasema kwa waliosoma hapo UDSM? nimeshajiuliza mara nyingi sijapata sababu. Unaweza kunidokezea wanasema hivyo kwa sababu gani?
Kama sababu inaweza kua hiyo sidhani kama ni sababu toshelezi sana. Vp wameshawapima pia output zao kama wanatoa matokeo chanya sana baada ya kumaliza?Nadhani nature ya udsm tu mwenye gpa ya tatu vyuo vingine ana first class, shule ya pale si lelemama na wanafata vigezo na zamani waliopata pata pale wengi ni waliofaulu vizuri Sasa mtu umesoma chuo huko ulipata three karibu na four eti first class, hawakuchukui kirahisi
Masters haiwezi kufikia ugumu wa Undergraduate.Mbona hyo GPA ndogo kwa chuo ka udsm huwezi kusoma, ka undergraduate ulipata hyo master's unaweza ku Disco maana mziki wake si wakitoto.
Aisee ni ngumu maana coursework na assignment fifty marks na kule kwa siku moja vipindi viwili vyenye masaa mengi tofauti na undergraduate kwa week kipindi kimoja lisaa moja plus seminar's. Sasa assignment moja ya master's page ka ishirini hivi huko undergraduate page tatu au nne Tena group work hapo.Masters haiwezi kufikia ugumu wa Undergraduate.
Hiyo GPA ni ngumu sana kupata chuo kitakachompokea kusoma Masters.
Ukijoin master's pale ukiwa na GPA ya 3.8 unaanza ka tutorial assistance Sasa hao wengine hata assignment za kawaida huwa zinawashinda wengine kupata supplementary kabisa, na wengi ufaulu huwa below so hawachukuliwi next step maana GPA haijafika na sio kuonewa huwa fair.Kama sababu inaweza kua hiyo sidhani kama ni sababu toshelezi sana. Vp wameshawapima pia output zao kama wanatoa matokeo chanya sana baada ya kumaliza?
Nadhani kuna tatizo hapo UDSM make siyo masomo tu bali adi kazi naona kujuana kumekua kwingi sana. Mimi nadhani kwasababu ya kuacha watu waliosoma pamoja kurundikwa sehemu moja kama wahadhiri hapo UD then wanakosa challange sana.
Tokea wamnyime jamaa yangu aliyesoma degree ya kwanza Michigan..Masters Newcastle na PhD Michigan bila ya kumwita ata kwenye usaili kisa wanamtaka ndugu wa mhadhiri wa hapo.
naomba jibu la ili swaliHIZO GPA HUWA WANAZIHESABUJE KWANZA? WANACHUKUA WASTANI WA MAKSI MIAKA YOTE ULIYOSOMA AU INAKUWAJE?
Ulisoma chuo gani hicho mchekea ?Aisee ni ngumu maana coursework na assignment fifty marks na kule kwa siku moja vipindi viwili vyenye masaa mengi tofauti na undergraduate kwa week kipindi kimoja lisaa moja plus seminar's. Sasa assignment moja ya master's page ka ishirini hivi huko undergraduate page tatu au nne Tena group work hapo.
Undergraduate gani hiyo yenye kipindi kimoja cha lisaa limoja a week.Aisee ni ngumu maana coursework na assignment fifty marks na kule kwa siku moja vipindi viwili vyenye masaa mengi tofauti na undergraduate kwa week kipindi kimoja lisaa moja plus seminar's. Sasa assignment moja ya master's page ka ishirini hivi huko undergraduate page tatu au nne Tena group work hapo.
Mbona hizo ndo GPA za UDSM?Mbona hyo GPA ndogo kwa chuo ka udsm huwezi kusoma, ka undergraduate ulipata hyo master's unaweza ku Disco maana mziki wake si wakitoto.