Tuliotoka na shemeji zetu

Mucho Mucho

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
245
Reaction score
256
Tujikumbushe ilivyokua ama mbinu tulizotumia kufanikisha azma ya kutembea na mashemeji zetu(rafiki ama ndugu wa mke/mume).

Mie nilikua na rafiki yangu ambae tulipangiwa kazi wilaya flani huko porini.. Rafiki yangu alitangulia na kuwa mwenyeji wangu, nilipofika nilimkuta kazama katika mahusiano na mtoto mmoja matata.

Kosa lake alipenda kuandamana nae kila sehem hata katika vikao vyetu vya jioni(kinywaji).. Katika mvinyo kuna ukweli.. Nilipiga sound kama waziri wetu wa biashara, mtoto kanielewa. Kesho yake nikatumbukiza.

Karibuni mtoe uzoefu wenu.
 
Sasa mtu anaekula shemeji yake km ni mwanaume bas ni insecure kweli kweli km ni mwanamke ni kawaida kdg ingawa sio wote
 
Kabisa mkuu, mpaka kesho nikitaka pesa ninangoja akiwa amekaa na sister nikiziingiza yeye hawa anajibu wa kwanza tutakupatia usijali.
Yani wewe siku utakuja kutembea na shemeji yako
Feel sorry for your lovely sister.

I imagine dada yako ni mZuri sana na ni mtu poa sana.

Ni wale wanawake ambao sio watata, hawaumizi kichwa.
Ndio maana shemeji yako macho kodo. Na atakuwa ni kiwembe huyo
 
Mkuu I will never do that to her, she is my best friend and I can't even tell her this story, I don't want to hurt her feelings
 
So sad...so painfull.....reason to suspend marriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…