Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks and this includes their First LadyThanks to you too and have a lovely and enjoyable weekend. Special greetings to all Kwamtogole citizens.
Mkuu hii mipingo yote iliyojaa duniani kisa cha kunifanya nishare mpingo na dada yangu nini?
Thanks and this includes their First Lady
Mkuu hata kama sipati privileges za Melanie Trump lakini nyumbani kwangu na mimi ni First Lady.lol! hahahahahah first lady wa Kwamtogole, unajua umenifanya nicheke.
Mkuu hata kama sipati privileges za Melanie Trump lakini nyumbani kwangu na mimi ni First Lady.
UMESHANASA WEWE? SUBIRI KISU TUKabisa mkuu, mpaka kesho nikitaka pesa ninangoja akiwa amekaa na sister nikiziingiza yeye huwa anajibu wa kwanza tutakupatia usijali.
Shemeji am missing you!Mkuu hata kama sipati privileges za Melanie Trump lakini nyumbani kwangu na mimi ni First Lady.
Huu ushemeji ulianza lini best?Shemeji am missing you!
Shemeji kunikana ndo nini?? Au kisa ni kwa sababu tulizima taa?Huu ushemeji ulianza lini best?
Chips zenyewe zimekaangwa kwa mafuta ya transformer!!!Wakati mwingine nawaza kwa maandishi, hivi hizi chips mayai wanazokula hawa wadogo zetu athari yake ni kubwa hivi, nilifikiri zinaathiri uwezo wao wa ku-jamiiana tu kumbe mpaka wa kufikiri.
Wewe in "GAIDI" !!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kabisa mkuu, mpaka kesho nikitaka pesa ninangoja akiwa amekaa na sister nikiziingiza yeye huwa anajibu wa kwanza tutakupatia usijali.
Hivi kutembea na shemeji zenu nako ni sifa. Khaa
IdiotWakati mwingine nawaza kwa maandishi, hivi hizi chips mayai wanazokula hawa wadogo zetu athari yake ni kubwa hivi, nilifikiri zinaathiri uwezo wao wa ku-jamiiana tu kumbe mpaka wa kufikiri.
Hapo ndio uone wanaume mnavyotofautiana.
Hapo kulikuwa na mawili kama sio mdogo mtu kumdharau dada basi mume angemdharau mkewe.
Kabisa pole yake huyo dada mana hapo kama ana wasaidizi wa ndani sidhani kama anawaacha.