Tuliotoka na shemeji zetu

Tuliotoka na shemeji zetu

Mim kama dume naona inategemea umeoa au unampango wa kuoa lakin kama unapita tu then kashem nako kajipendekeze unapita naye tu maana sitakuwa na future naye

Lakin kama una future na demu wako aisee usijaribu kabisa utajuta milele,alafu tujue mwanamke kuhidh siri mwisho n masaa 48 kwa hiyo one day demu wako atajua tu

Swali: Hivi kwanin nyie mademu mnashindwa kutunza siri kama sis wanaume??
 
Kabisa mkuu, mpaka kesho nikitaka pesa ninangoja akiwa amekaa na sister nikiziingiza yeye hawa anajibu wa kwanza tutakupatia usijali.
vipi mwanamama...naona umejaajaa humu kwa mara nyingine baada ya kutuaga
 
Kabisa mkuu, mpaka kesho nikitaka pesa ninangoja akiwa amekaa na sister nikiziingiza yeye hawa anajibu wa kwanza tutakupatia usijali.
Dah, Poor Shemeji. Hii life time investment bwana shemeji alijitakia hiyo kwa tamaa zake. Ukitaka chochote atakupatia ili umfichie hiyo aibu. Utamtesa sana kisaikolojia lakini pia na atakuwa anakupatia chochote atakacho sio kwa ridhaa yake ni basi tuu inalizimu.

Ila mind you as you keep on chopping his money iko siku utaingiwa na huruma umlipe fadhila, Hivyo ni vema hata usikaribishe hayo mazingira ya kutumia udhaifu wake kama fimbo ya kumchapia. Baada ya muda mrefu inaweza kuleta matokeo chanya pande zote mbili na mwisho wa siku mkabaki kusema ni shetani alitupitia au afanye juu chini kutimiza azma yake ili aondokane na hicho kifungo maana hutaweza tena kuwa na ujasiri wa kumweleza Sister.

Na kingine ili aishi kwa amani na bila hofu kukuona unaongea na Sister ni vizuri umtoe hofu, umueleze kamwe huwezi kumueleza dada, kwa namna moja au nyingine inaweza kuwa unaathiri pia kujiamini kwa Sister maana kila wakati atakuwa anawaza ni lini utamueleza na anaweza nae kujiandaa kwa mashambulizi wakati wowote endapo sister atajua. Usishangae akasema wewe ndio ulionyesha huo utovu wa nadhani.
 
Tujikumbushe ilivyokua ama mbinu tulizotumia kufanikisha azma ya kutembea na mashemeji zetu(rafiki ama ndugu wa mke/mume).

Mie nilikua na rafiki yangu ambae tulipangiwa kazi wilaya flani huko porini.. Rafiki yangu alitangulia na kuwa mwenyeji wangu, nilipofika nilimkuta kazama katika mahusiano na mtoto mmoja matata.

Kosa lake alipenda kuandamana nae kila sehem hata katika vikao vyetu vya jioni(kinywaji).. Katika mvinyo kuna ukweli.. Nilipiga sound kama waziri wetu wa biashara, mtoto kanielewa. Kesho yake nikatumbukiza.

Karibuni mtoe uzoefu wenu.
DUH POMBE MBAYA SANA
 
"...apart from the fact that human beings have a well developed brain, some of them are little lower than wild animals. .."

Charles Darwin
 
Mume wa sister alinitokea nikamwambia aache kabisa tena nitamwambia mke wake. Tangu siku ile akiniona nimekaa ninaongea na sister anakosa amani kabisa.
Huyo nae ni boya tu,,kwani ukimwambia dada ako ndio nini?
 
Tujikumbushe ilivyokua ama mbinu tulizotumia kufanikisha azma ya kutembea na mashemeji zetu(rafiki ama ndugu wa mke/mume).

Mie nilikua na rafiki yangu ambae tulipangiwa kazi wilaya flani huko porini.. Rafiki yangu alitangulia na kuwa mwenyeji wangu, nilipofika nilimkuta kazama katika mahusiano na mtoto mmoja matata.

Kosa lake alipenda kuandamana nae kila sehem hata katika vikao vyetu vya jioni(kinywaji).. Katika mvinyo kuna ukweli.. Nilipiga sound kama waziri wetu wa biashara, mtoto kanielewa. Kesho yake nikatumbukiza.

Karibuni mtoe uzoefu wenu.
We ni dhaifu kama mbwa mbele ya chatu wala sio gentleman na pimbi kabisa
 
Wanawake wapumbavu sanaa yani ukilogwa Umle tena vizuri afu ukataka kumkimbia weeeh hadi shoga ake anaweza kukupigia simu kukuuliza kwann unamwacha rafiki yake yan anasahau kabisa kama yeye ni mke wa mtu..na shosti wake pia ukimlilia mzigo pia anakupa...!
 
Back
Top Bottom