atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Nakumbuka kuna kipindi nilishi Kijiji kimoja wilaya ya Handeni,basi yupo dada mmoja alikuwa mke wa teacher yaani sijui hata nisemaje,asubuhi mume wake akiwa ameenda kazini lzm aje kuniamsha na kuniuliza why nachelewa kuamka mambo ya msosi ndio usiseme mpaka mumewe akanihisi vibaya,mm kwakweli nilimheshimu yule dada na vilevile niliogopa mazingira ya pale,ila mwisho wa siku yule dada alinichukia mpaka kunisema Kwa watu vibaya nikajuta nikasema Wema wangu umeniponzaKweli kabisa mana sio kila chakula lazima ule. [emoji2] [emoji2]