Tuliotoka na shemeji zetu

Tuliotoka na shemeji zetu

lakini mie naona hii kwa jiji kama dar nimeona inatokea sana, tena basi utakuta bint anajua kabisa huyu ni shemeji kwa dada au kwa kaka, unakuta mtu anajipeleka, marafiki ndio usipime, mie mwenyewe nasema hivyo yashanikuta na nina mifano hai, mradi wakishaona vijisent unavyo, haaao utaona wanajileta ka mbwa kamuona chatu
 
Wanaume tumebaki wachache, serikali ifanye juhudi kizazi hiki kisipotee baada yetu, mtu atahisifia je ujinga huu???
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Na inabidi serikali ifanye juhudi kweli kweli ili isifikie huko wanakoelekea la sivyo watapotea wengi.
 
Mkuu I will never do that to her, she is my best friend and I can't even tell her this story, I don't want to hurt her feelings
Na kulingana mlivyo as ulivosema... Ikitokea ukamtonya tu lazma atahc vngne n utakua mwanzo wa chuki kati yako n dada ako... Ucje kumgusia kbsa
 
Tujikumbushe ilivyokua ama mbinu tulizotumia kufanikisha azma ya kutembea na mashemeji zetu(rafiki ama ndugu wa mke/mume).

Mie nilikua na rafiki yangu ambae tulipangiwa kazi wilaya flani huko porini.. Rafiki yangu alitangulia na kuwa mwenyeji wangu, nilipofika nilimkuta kazama katika mahusiano na mtoto mmoja matata.

Kosa lake alipenda kuandamana nae kila sehem hata katika vikao vyetu vya jioni(kinywaji).. Katika mvinyo kuna ukweli.. Nilipiga sound kama waziri wetu wa biashara, mtoto kanielewa. Kesho yake nikatumbukiza.

Karibuni mtoe uzoefu wenu.
Lakini unajua jinsi ambavyo laani au KARMA inavyotesa kwy haya mambo....hii ni kama kula nyama ya mtu...inabaki kwa kizazi chako
!kafanye TOBA ufute hizo laana....
 
Badala ya kutafuta njia ya kumfanya asijipendekeze we ndio utataka umtafune. Lol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua tatizo la wanawake wengi akijipendekeza ukamwacha basi kuna kuwa na kadharau fulan anakuonyesha,na inshu kama hiyo imeshawahi kunitokea nikaweka heshima lkn matokeo yake nilionekana mjinga,ss dawa yao ni kutafuna tu hamna namna mpaka mkikutana huwa nahakikisha anapoteza confidence kabisa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Na inabidi serikali ifanye juhudi kweli kweli ili isifikie huko wanakoelekea la sivyo watapotea wengi.
Hivi mme kama huyu akakuoa Emmyta itakuwaje!
Mna kazi nyie viumbe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua tatizo la wanawake wengi akijipendekeza ukamwacha basi kuna kuwa na kadharau fulan anakuonyesha,na inshu kama hiyo imeshawahi kunitokea nikaweka heshima lkn matokeo yake nilionekana mjinga,ss dawa yao ni kutafuna tu hamna namna mpaka mkikutana huwa nahakikisha anapoteza confidence kabisa

Sasaaa baada ya kuonekana mjinga ulipungukiwa nini?

Wacha hizo bana.
 
lakini mie naona hii kwa jiji kama dar nimeona inatokea sana, tena basi utakuta bint anajua kabisa huyu ni shemeji kwa dada au kwa kaka, unakuta mtu anajipeleka, marafiki ndio usipime, mie mwenyewe nasema hivyo yashanikuta na nina mifano hai, mradi wakishaona vijisent unavyo, haaao utaona wanajileta ka mbwa kamuona chatu
Toa hiyo mifano hapa.. Otherwise itakua ni uzushi kama zushi zingine
 
Back
Top Bottom