Dah.. Wakati si mileleBinafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281078
Nimetumia sana enzi hizo nimetoka middle schoolBinafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281078
Tupo pamoja mkuu🤣Sio wa miaka ya 70s wala 80s ila nimeikuta tu na bado inatumika huu ni full mechanic tu
View attachment 3281086
uongo mkubwa huuabiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
Hukuishi nilipoishi perioduongo mkubwa huu
hiyo miaka ya ujamaa unatozwaje nauli?
hizo gari ilikuwa unabebwa bure tu tena kwa umbali mrefu tu kokote uendako
unapewa "lifti"
hakuna wa kukudai nauli labda kama ni gari maalum ya kukodishwa
utu umeisha
Huyo mzee atakua alikuwa anaishI njombe. .. ilikuwa ni ujanja tu. Hio ilikuwa land rover 108 au 109Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281084
Okay, hapo kuna ratio gear lever. Kuna Gear lever ya High na Low. Kuna gear lever ya 4 wheel . Kuna handbrake lever. kuna lever ya kuzima engineBinafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281084
Hiyo ndefu nyeusi ni gearselectorOkay, hapo kuna ratio gear lever. Kuna Gear lever ya High na Low. Kuna gear lever ya 4 wheel . Kuna handbrake lever. kuna lever ya kuzima engine
Duuuh virungu kama vyoteBinafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281084