Mkuu unampata vyema ni kweli alikuwa anafanya safari zake Njombe Uwemba kupitia sehemu inaitwa Magoda sijui bado ipo!?? Maana tulihama huko decades agoHuyo mzee atakua alikuwa anaishI njombe. .. ilikuwa ni ujanja tu. Hio ilikuwa land rover 108 au 109
Kuna hiyo vent Knob kwa ajili ya kuruhusu hewa kuingia ndani ya gari; na Knob nyingine ni kwa ajili ya kufungua bonneti. Knob nyingine hapo karibu na speedometer kwa ajili ya wipers na kitufe cheusi cha mviringo ni Honi.Okay, hapo kuna ratio gear lever. Kuna Gear lever ya High na Low. Kuna gear lever ya 4 wheel . Kuna handbrake lever. kuna lever ya kuzima engine
LandloverBinafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281084
Dah! Uwemba karibu na ile Hospitali maarufu ya kung'oa meno? au kwa Bruda?Yeah bado ipo hio barabara... its home land uwemba
Naam. Yule bruda Wendelin aliotesha kwa wingi mmea wa Artemisia annua ambao ni maarufu sana kwenye tiba ya malaria - wataalam wanauchuja kupata dawa ya malaria almaarufu hospitalini kama "Aluu" au Mseto na upo kwenye uchunguzi kuhusu uwezo wake wa kutibu cancer.Kitambo sana viazi kwa wingi mahindi ya kuchemsha those good days
Njano unashindilia chini inakuwa 4x4 high,, nyekundu ukirudisha nyuma njano inapanda juu nyekundu unarudisha mbele unakuwa unatembelea 2H hiyo nyekundu ukivuta nyuma ukashindilia njano chini unakuwa unatembelea 4x4 low š Hiyo pembeni ya handbrake ni kama overdriveOkay, hapo kuna ratio gear lever. Kuna Gear lever ya High na Low. Kuna gear lever ya 4 wheel . Kuna handbrake lever. kuna lever ya kuzima engine
Haijawahi kuwepo land Rover 108, pichani ni land Rover 109 series 2Huyo mzee atakua alikuwa anaishI njombe. .. ilikuwa ni ujanja tu. Hio ilikuwa land rover 108 au 109
Mzee upo sahihi kabisa,, ila yenye taa kwenye vent za rejeta ni land rover series IHaijawahi kuwepo land Rover 108, pichani ni land Rover 109 series 2
Eeenhe! Kuiendesha gari hiyo naona kama ilikuwa kazi ngumu na inayohitaji umakini mkubwa. Siku hizi ni Auto.. na dereva kazi ni kuongeza au kupunguza mafuta (acceleration)na kulengesha aendako. Mengine gari itafanya yenyewe........ labda dereva pia ni kupiga honi na indicator kuonesha anaelekea kulia au kushoto. -Udereva wa ck hizi umerahisishwa sana.Njano unashindilia chini inakuwa 4x4 high,, nyekundu ukirudisha nyuma njano inapanda juu nyekundu unarudisha mbele unakuwa unatembelea 2H hiyo nyekundu ukivuta nyuma ukashindilia njano chini unakuwa unatembelea 4x4 low š Hiyo pembeni ya handbrake ni kama overdrive
Sasa hujagusa steering wheel ina play kubwa si mchezo halfu ni ngumu haina hydraulicEeenhe! Kuiendesha gari hiyo naona kama ilikuwa kazi ngumu na inayohitaji umakini mkubwa. Siku hizi ni Auto.. na dereva kazi ni kuongeza au kupunguza mafuta (acceleration)na kulengesha aendako. Mengine gari itafanya yenyewe........ labda dereva pia ni kupiga honi na indicator kuonesha anaelekea kulia au kushoto. -Udereva wa ck hizi umerahisishwa sana.