Tuliotumia hii teknolojia tukututane hapa tunakumbuka wapi

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,233
Reaction score
51,648
Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea

​

View attachment 3281078
Nimetumia sana enzi hizo nimetoka middle school
 
Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea

View attachment 3281084
Huyo mzee atakua alikuwa anaishI njombe. .. ilikuwa ni ujanja tu. Hio ilikuwa land rover 108 au 109
 
Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea

View attachment 3281084
Okay, hapo kuna ratio gear lever. Kuna Gear lever ya High na Low. Kuna gear lever ya 4 wheel . Kuna handbrake lever. kuna lever ya kuzima engine
 
Hiyo ndefu nyeusi ni gearselector
Hiyo fupi ina base ya silver ni high na low. Na mara nyingine ndio inaengage 4 wheel drive.
Ya njano ndio overdrive.
Hiyo nyekundu ni parking.
Na hapo inategemea hiyo gari model gani.
Hamna hiyo gear ya kuzima engine.
 
Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea

View attachment 3281084
Duuuh virungu kama vyote
Hii nchi ina wenyenchi walanchi na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…