Dah! Mkuu inaelekea unauzoefu mkubwa. Nilikuwa namwona dereva anavyoendesha gari ya aina hizo anakuwa kama anafanya mazoezi ya "boxing" yale ya right jab -left jab Quick,quick nikadhani mbwembwe kumbe ndo shughuli yenyewe ya uendeshajiSasa hujagusa steering wheel ina play kubwa si mchezo halfu ni ngumu haina hydraulic
JF pazuri...tunapata uzoefu wa mpaka early 70s!!Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281084
Hii nimewahi kuiona mahali kama ukumbusho wa historia...SIkuzile kila familia baadhi ya maeneo walikuwa na mashine ya kusaga nafaka aina hii
View attachment 3282926
Hata makopa inasaga vizuri tu.Mostly mahindi na ngano hata mtama
Kumbe hiyo ndio Nokia kiuno, kweli ina kiuno. Na RAV4 Miss Tanzania ndio zikoje.Nokia kiuno
Land Rover 109 hiyo,inanikumbusha mbaali,,enzi hizo baba wa rafiki yangu majirani zetu mkoa fulani,alikuwa boss serikalini akila kishoka katika gari hiyo,ilikuwa hatari,kigia chekundu hicho kwenye tope haikwami gari hiyo,ilikuwa raha sana aseh,wakati huo zilikuwepo na zile Isuzu zenye pua,baadae ikaja Isuzu injection balaa.Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281084
Huko kote mbali, 109 haikuwahi kumiliki brake za uhakikaSasa hujagusa steering wheel ina play kubwa si mchezo halfu ni ngumu haina hydraulic
Warning wahenga only, 2000s wakae mbali kabisa na uziBinafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
View attachment 3281084
๐๐Lazima upampu x2 ndio ikamateHuko kote mbali, 109 haikuwahi kumiliki brake za uhakika
Steering ina play,, dereva wa kawaida anaingia vichakaniDah! Mkuu inaelekea unauzoefu mkubwa. Nilikuwa namwona dereva anavyoendesha gari ya aina hizo anakuwa kama anafanya mazoezi ya "boxing" yale ya right jab -left jab Quick,quick nikadhani mbwembwe kumbe ndo shughuli yenyewe ya uendeshajiinavyotaka.
Hii kitu nimeitumia sana home huko Njombe. Mpaka leo tunayo kama kumbukumbu. Ilikuwa mwenye mashine hii kama ana mabinti wazuri unatamani utumwe kila siku kusaga mahindi au ngano.SIkuzile kila familia baadhi ya maeneo walikuwa na mashine ya kusaga nafaka aina hii
View attachment 3282926
Sisi tulikuwa na ya kahawaHii kitu nimeitumia sana home huko Njombe. Mpaka leo tunayo kama kumbukumbu. Ilikuwa mwenye mashine hii kama ana mabinti wazuri unatamani utumwe kila siku kusaga mahindi au ngano.
Zilikuwa zinaitwa Isuzu mbaulaLand Rover 109 hiyo,inanikumbusha mbaali,,enzi hizo baba wa rafiki yangu majirani zetu mkoa fulani,alikuwa boss serikalini akila kishoka katika gari hiyo,ilikuwa hatari,kigia chekundu hicho kwenye tope haikwami gari hiyo,ilikuwa raha sana aseh,wakati huo zilikuwepo na zile Isuzu zenye pua,baadae ikaja Isuzu injection balaa.
Naam mkuu, ilikuwa hashindwi milima hiyo,ilikuwepo pia Leyland fulani ilinifurahisha sana mlio wake ikikwea mlima,kuna moja ilikuwa bus tunaisubiria ili twende kijijini,mtu unajiandaa na kwakuwa mabasi yalikuwa machache sana,ilikuwa maarufu sana,ukiisikia tu unawahi kituoni kupanda isije kukuacha ,ilikuwa raha sana.Zilikuwa zinaitwa Isuzu mbaula
We kweli unaijua 109!! Binafsi ndo gari niliyojifunzia kuendesha, na pia ilinipatia pesa, mapungufu yake ndo yaliyonifanya niwe na discipline sana na udereva wangu,, leo hii hata unipe gari jipya huwa siamini brake.๐๐Lazima upampu x2 ndio ikamate
๐๐We kweli unaijua 109!! Binafsi ndo gari niliyojifunzia kuendesha, na pia ilinipatia pesa, mapungufu yake ndo yaliyonifanya niwe na discipline sana na udereva wangu,, leo hii hata unipe gari jipya huwa siamini brake.