Tuliotumia hii teknolojia tukututane hapa tunakumbuka wapi

Ilikuwa unaweza kuezua paa ukaibadili kuwa pickup na keesho ukairudishia au ukavisha paa la boxbody badala ya station wagon🤣









​
 
Mkuu unampata vyema ni kweli alikuwa anafanya safari zake Njombe Uwemba kupitia sehemu inaitwa Magoda sijui bado ipo!?? Maana tulihama huko decades ago
Iwungilo kwao huyo Kiyavitende
 
Ina maana hiko chuma kilikuwa kinafyatuka?
Chuma chenyewe ni hiki👇

Kilikuwa kinaingizwa hapo mbele kwenye hilo tundu, kisha unakizungusha kwa nguvu sana, kizungushe mitambo huko ndani gari liwake, kilihitaji timing na umakini sana kufanya hilo zoezi kwa usalama wako

Kilitumika kama mbadala wa kusukuma na kushtua gari





Ila huwa sijui hayo matundu ya nyuma yalikuwa na kazi gani labda Mshana Jr na Pascal Mayalla wanakumbuka

Play hii video👇
Your browser is not able to display this video.

​
 
Chukua Hendeli tuwashe gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…